GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Miguu ya wenzetu wengine kuwa na kreki za asili a.k.a Magaga?
Naomba mnaojua tafadhali mnisaidie kwani kuna mtu mimekaribisha kwangu kaja na ndala zake akawa amekunja nne katika kochi bahati mbaya akanichania foronya langu na sasa nahangaika kuingiza uzi katika tobo lile gogo la indano ili nishone kwani hilo gaga limenichania sehemu kubwa tu ya foronya langu.
Nitashukuru nikipata elimu hii adhimu ya nini hupelekea mwanadamu kuwa na mipasuko pembezeno mwa miguu hasa kule anapokanyagia ambayo kwa Kiswahili huwa tunaiita Magaga.