GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Pole sana kwa ajali, ila vumilia usijiumize wala usimkasirikie mgeni aliekuja kukutembelea. Kwa sisi waswahili tunaamini mgeni ndani ya nyumba ni baraka.
Ingawa naweza nikawa sina jibu la kitaalam zaidi ila kwa mtazamo wangu Yabisi nafikiri zinasababishwa na vumbi, kwahiyo dawa yake ni kuwa na mazoea ya kuvaa viatu vya kufunika.
Tuwasubiri wataalam waje kutusaidia kitaalam zaidi
Nyimbo Inayopigwa Ni Ndombolo Ya Solo Wewe Unacheza Kwaito.
Anaondoka lini? asije akachana na mashuka.