IshaLubuva
JF-Expert Member
- Dec 4, 2008
- 250
- 11
Siku moja nilinunua vijiti vya kusafishia masikio na nikawa nampa mshikaji mmoja yeye akanambia ameacha kusafisha ute/utomvu unaokuwemo kwenye masikio baada ya kumsikia Daktari mmoja akieleza kwamba utomvu unaotengenezwa kwenye masikio ni kinga kwa ajili ya kuzuia vitu ambavyo vinaweza kuingia kwenye sikio na kulidhuru.
Tafadhal wataaluma wa viungo vya binadamu watoe ufafanuzi wa iwapo tunahitajika kutoa kitu kinachoonekana kuwa uchafu nadani ya masikio yetu au la.
Tafadhal wataaluma wa viungo vya binadamu watoe ufafanuzi wa iwapo tunahitajika kutoa kitu kinachoonekana kuwa uchafu nadani ya masikio yetu au la.