Nini athari ya vita ya Sudan kwa mpira wa Miguu?

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,617
Reaction score
8,244
Sudan iko kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewe, hii vita itaua mpira wa miguu kwani kuna timu kubwa 2 ambazo huajiri wachezaji na Kocha kutoka nchi mbalimbali.

Je, nini athari ya vita hiyo kwa mpira wa miguu?
 
Hakuna athari wengine tutaendelea kupiga soka, wakimaliza kuuana watarudi uwanjani
 
Ukraine mpira unaendelea.Hakuna mtu kuua wachezaji.wewe ulisikia wapi?
 
Back
Top Bottom