Nini athari ya wamiliki man city kutumia pesa zao kuwekeza katika timu??

crankshaft

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
1,427
Reaction score
3,438
Wajuzi naomba mnisaidie hapa

kuna athari gani ya timu kama man city kutumia pesa halali ya wamiliki wake kuwekeza katika timu mpaka wakatunga hizo sheria zinazowafunga??

halafu hawa epl management, ukizingatia man city ni klab kubwa sana kwa sasa duniani ,hawajaona hata umuhimu wa kuwalinda hawa jamaa ili brand yao ibaki kuwa juu? Nadhani hata juve ilikuwa hivi(ni kama wazazi wanaamua kuwasagia kunguni watoto wao)

kwa nini waarabu hawajawekeza la liga kwa madrid na barca?
 
Financial Fair Play (FFP) ina sisitiza matumizi sahihi ya pesa ili kuwe na Fair Competition (FC) ili kuzilinda club ambazo hazina wawekezaji wenye pesa zakumwaga.

Ukiruhusu tu umwagaji wa hela kiholela kunakuwa hakuna tena ushindani huru maana ma tycoon wa kiarabu wao pesa kwenye mpira wala hata hawaangalii ROI (Return On Investment) wao wanataka tu starehe.
 

na kwa chelsea vipi ? Mbona nao wamefanya matumizi makubwa sana chini ya huyu bosi mpya?
 
na kwa chelsea vipi ? Mbona nao wamefanya matumizi makubwa sana chini ya huyu bosi mpya?
Hiyo ni case nyingine, ujue hii issue ya Man City sio ya jana. Wameanza kuchunguzwa miaka minne iliyopita.
 
na kwa chelsea vipi ? Mbona nao wamefanya matumizi makubwa sana chini ya huyu bosi mpya?
Chelsea 5 years wameuza wachezaji kadhaa na walifungiwa usajili pia.

Hii sheria inataka kubalansi kati ya unachoingiza na unachotoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…