crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Wajuzi naomba mnisaidie hapa
kuna athari gani ya timu kama man city kutumia pesa halali ya wamiliki wake kuwekeza katika timu mpaka wakatunga hizo sheria zinazowafunga??
halafu hawa epl management, ukizingatia man city ni klab kubwa sana kwa sasa duniani ,hawajaona hata umuhimu wa kuwalinda hawa jamaa ili brand yao ibaki kuwa juu? Nadhani hata juve ilikuwa hivi(ni kama wazazi wanaamua kuwasagia kunguni watoto wao)
kwa nini waarabu hawajawekeza la liga kwa madrid na barca?