Nini athari za meno ya bandia kwa binadamu?

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
451
Jamani, kuuliza si ujinga.

Kwa wale wenye ufahamu juu ya meno ya bandia, baada ya meno ya jamaa yangu kupukutika na reception kuonyesha uzee bila mpangilio, (amefikiria kuweka meno bandia).

Je, kuna madhara kuweka meno ya bandia?
 
Mimi nimeweka kwenye Hospital moja pale Temeke jinomoja kwa sh.5000 tu,nimeweka mawili.10000.Siku ya kwanzaunapimwa kesho yake wanapachika mazuri sana.
 
inaitwaje hiyo hospitali
 
Mimi nimeweka kwenye Hospital moja pale Temeke jinomoja kwa sh.5000 tu,nimeweka mawili.10000.Siku ya kwanzaunapimwa kesho yake wanapachika mazuri sana.

Naomba kufahamu hiyo bei ni pamoja na kupewa jino bandia?
 
Back
Top Bottom