King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Mkuu, fafanua zaidi hapa.🧱 4. NJIA ZA BACKUP IWAPO HTTP, VPN, NA DNS ZIMEKATWA
Kama shutdown ni kali sana, tumia:
A. Intra (Google)
1. Play Store → Pakua Intra
2. Washa
3. Ina bypass DNS blocking
B. Mesh Networks bila internet
Kwa mawasiliano kati ya simu na simu:
Briar
Bridgefy
Zinafanya kazi bila internet (Bluetooth & WiFi Direct).
Hiyo Zello umefanikiwa kuitumia?Kuna Zello Maria Sarungi alikuwa anaipush sana.
D9 Usitoke Kinyonge.
Inabidi tupate Apps ambazo hazihitaji Data kwa ajili ya mawasiliano yaani only network hiyo hiyo isaidie kutuma kama RCS hivi.
Wanazima huduma ya internet kabisa, na VPN inahitaji internet ili i connect kwahyo hapo hakuna kitakachofanya kaziMkuu hivi wakizima internet kama mwanzo si hata VPN hazitakua zikifanya kazi??
Umefanyaje hebu nielekeze kwa utaratibu sijaelewa kituImeisha hiyo, haya ccm zimeni intanet hata muda huu wangese nyie
Nimepakua tuu app mojawapo hapo, so sina uhakika nayo sana nasubir wazime mtandao then nione kama itafanya kaziUmefanyaje hebu nielekeze kwa utaratibu sijaelewa kitu
Wakizima utainstall vipi sasa hizi app?🤣Uzi wa dhahabu huu, bado nafanya utafiti nijue maelezo ya kuscreenshot kwa matumizi ya siku ya tukio, maama wakizima hakuna wa kumuuliza
😀😀 Dah umenistua nilishasahau ngoja nifanye utafiti ili niistall kabisa kabla D9Wakizima utainstall vipi sasa hizi app?🤣