Hakuna mzazi anayemtakia mabaya mtoto wake,lkn cha kukumbuka ni kwamba na wao sio miungu,huwa wanakwenda wrong wakati mwengine.Wazazi wako wanakutakia mema tangu ulipo letwa duniani.au una taka useme baba yako anataka usimuoe huyo binti ili akupindue amuoe yeye........? Au mama yako anamuonea gere huyo mchumba wako....?
Najua wewe saizi umegubikwa na huba huoni mbele .
Amini wazazi wako bado wanakupenda na wanataka kuona unamaisha mazuri kila siku. Siku utakayo kuja kusema baba na mama walikua sahihi ni siku ambayo utakua umechelewa Sana na umeharibikiwa Sanaa.