NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
Mkuu tafuta majani ya mlonge robo kg + mbengu 15 za mlonge twanga kwa psmoja tumivktk uji,chai isiyo na sukari kijiko kidogo kimoja jutwa Mara 2Naweza kupata mawasiliano ya hao wataalamu..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tafuta majani ya mlonge robo kg + mbengu 15 za mlonge twanga kwa psmoja tumivktk uji,chai isiyo na sukari kijiko kidogo kimoja jutwa Mara 2Naweza kupata mawasiliano ya hao wataalamu..?
Mkuu kuna uzi wa MziziMkavu niliupitia, unasema mlonge haufai kwa matumizi ya binadamu kwa sababu una acid..!Mkuu tafuta majani ya mlonge robo kg + mbengu 15 za mlonge twanga kwa psmoja tumivktk uji,chai isiyo na sukari kijiko kidogo kimoja jutwa Mara 2
Atumie kirutubisho chenye seli shina yaani Stem cell atapona haki. Nirushie namba yako kwenye siku yangu 0629 057864 ili nikupe maelezo zaidi na shuhuda za waliopona na kuepuka kukatwa miguu licha yakuanza kupata vidondaAlitun
Alitumia dawa gani
Nina ndugu yangu alikua na sukari ametumia dawa za asili mpaka leo akipima anakuta 5-7 so kama unavyosema tusidharau hao watu wanasaidia pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kirutubisho kizuri cha kicontrol sukari kinaitwa GLUCOGONE. Wahanga tumieni.