TEAM VIBAJAJI
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 1,858
- 2,298
Hilo gari litakua la urithi,sema jamaa amepitiliza mzunguko wa kulitumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia piki piki!Habari ya weekend wakuu,
Ni takribani miaka miwili nilimuazima ndugu yangu gari. Tunakaa mikoa miwili tofauti. Sasa tangu nimeanza kumuomba gari yangu, inaonyesha ni dhahiri moyo wako umekengeuka na hana dhamira ya kutaka kulirudisha gari langu. Ndugu wana JF naamini kabisa ntapata msaada wa kimawazo