Nini cha kufanya ukipoteza passport ugenini?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Ukikutana na hiyo changamoto utapaswa kuchukua hatua gani?

1. Utaitaarifu kwanza ofisi ya ubalozi wako?

2. Utaripoti kituo cha Polisi cha nchi uliyopo?
 
nilianzia polisi kwanza baadae nikaenda ubalozini mambo yakawa mazuri
1. Ukianzia Polisi, kama ni wapendwa rushwa, hawawezi kutumia huo mwanya kukusumbua ili uwapatie chochote?
2. Ukisema ukatoe kwanza taarifa ubalozini, Polisi/Uhamiaji wakikubamba "mjini" haitakuwa "msala"?
 
polisi hawasumbui mkuu
2 usiogope mkuu ukienda ubalozini kila kitu kinakaa sawa
 
1. Ukianzia Polisi, kama ni wapendwa rushwa, hawawezi kutumia huo mwanya kukusumbua ili uwapatie chochote?
2. Ukisema ukatoe kwanza taarifa ubalozini, Polisi/Uhamiaji wakikubamba "mjini" haitakuwa "msala"?
Ni vyema ukaanzia polisi ukatoa taarifa maana inaweza okotwa na kupelekwa huko…na nchi za wenzetu zina mifumo inayoeleweka…ukikuta na uhamiaji ukajieleza tatizo lililokupata wanaingia tu kwenye kujiridhisha kama uliingia kihalali na visa yako bado halali…tatizo kama visa ime expire hapo itakua issue!
 
Back
Top Bottom