GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Kipi kinapaswa kutangulia?1 na 2 hapo vyote muhimu hii ilinikuta nikiwa ethiopia
nilianzia polisi kwanza baadae nikaenda ubalozini mambo yakawa mazuriKipi kinapaswa kutangulia?
Ulifanyeje? Tupeane Elimu mkuu! Hayo matukio hutokea bila kutarajiwa.
Kwani kila nchi ina huo mfumo wa uongozi? Kuna balozi wa nyumba kumi Dubai?anzia kwa mjumbe wa nyumba kumi
wapo mkuuKwani kila nchi ina huo mfumo wa uongozi? Kuna balozi wa nyumba kumi Dubai?
1. Ukianzia Polisi, kama ni wapendwa rushwa, hawawezi kutumia huo mwanya kukusumbua ili uwapatie chochote?nilianzia polisi kwanza baadae nikaenda ubalozini mambo yakawa mazuri
Nashukuru kwa taarifa. Acha iwe homework yangu. Sikuwa nalifahamu hilo.wapo mkuu
Habari ya Deira?Nashukuru kwa taarifa. Acha iwe homework yangu. Sikuwa nalifahamu hilo.
polisi hawasumbui mkuu1. Ukianzia Polisi, kama ni wapendwa rushwa, hawawezi kutumia huo mwanya kukusumbua ili uwapatie chochote?
2. Ukisema ukatoe kwanza taarifa ubalozini, Polisi/Uhamiaji wakikubamba "mjini" haitakuwa "msala"?
Nchi za wenzetu hawana mfumo wa utawala wa uyole au tukuyuanzia kwa mjumbe wa nyumba kumi
Ni vyema ukaanzia polisi ukatoa taarifa maana inaweza okotwa na kupelekwa huko…na nchi za wenzetu zina mifumo inayoeleweka…ukikuta na uhamiaji ukajieleza tatizo lililokupata wanaingia tu kwenye kujiridhisha kama uliingia kihalali na visa yako bado halali…tatizo kama visa ime expire hapo itakua issue!1. Ukianzia Polisi, kama ni wapendwa rushwa, hawawezi kutumia huo mwanya kukusumbua ili uwapatie chochote?
2. Ukisema ukatoe kwanza taarifa ubalozini, Polisi/Uhamiaji wakikubamba "mjini" haitakuwa "msala"?