acha kejeli
umeme mitambo ya Dowana na IPTL ipo sema nyie mnaojiita wapiganaji hamtaki iwashwe.
hebu mpumzishe rais wetu sie
GT kukataliwa kuwashwa kwa mitambo kumekunyima ulaji kwasababu wafadhili wako ndio wenye mitambo!! Endelea kumtetea Jakaya kama ulivyosema, unamtetea mpaka kichwa kinakuuma; pole sana!