GT kukataliwa kuwashwa kwa mitambo kumekunyima ulaji kwasababu wafadhili wako ndio wenye mitambo!! Endelea kumtetea Jakaya kama ulivyosema, unamtetea mpaka kichwa kinakuuma; pole sana!
Tanzania: Katika viongozi 8, kuna wanaume 5 na mwanamke 1. Aidha kuna mwanamme 1 mtarajiwa (kijana afungwaye gidamu) na mwanamke 1 mtarajiwa (anayeonekana kidogo kwa nyuma).