Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 515
- 1,015
1. walau kuanzia siku saba ndo inapendeza watu kuja kushika mtoto.Habari za Muda Huu waungwana,
Kwa wale Mliowahi kupata Watoto, mkawakuza mpaka Wakakua na afya njema, Mlizingatia mambo yapi Pindi walipozaliwa?
Mimi niliwahi kupata mtoto, Bahati mbaya akafariki, Ninaomba kujuzwa wa wenye uzoefu ni mambo gani Muhimu kuzingatia.
Mambo baadhi ninayohutaji kuyajua.
1. Mtoto anapaswa kuanza kushikwa na watu akiwa na muda gani? (Watu wanaokuja kusalimia)
2. Ni muda Upi sahihi wa kutoa taarifa kua umepata mtoto kwa watu wako wa karibu. (Kabla ya arobaini ama baada ya arobaini)
3. Unajikinga Vipi na Husda na Vijicho vya watu wabaya Juu ya Mtoto wako mchanga?
4. Je, Baba mtoto akianza kuchepuka nje na wanawake wengine mtoto anaweza kuanza kuugua?
5. Mtoto akiwa anashikwa shikwa na watu wa nje waliotoka kufanya zinaa anaweza dhurika?
6. Kifanyike nini ili mtoto awe na afya nzuri na imara?
7. Kitovu cha mtoto mchanga kinatupwa wapi ama kinatunzwa?
Na mengine ambayo siyajui naomba kuyajua, natanguliza shukrani. [emoji120]
2. Kwa wakaribu zaid hususani ndg zako wa damu na ukwen kwako taarifa n cku hyohyo mkeo anapojifungua, kwa marafk baki hakun madhara n ww utavoona inafaa ata baada ya 40
3. Husda zpo hususani mazongo kwa watt lkn kun wanawafunga mjongoo watt mikononi kwa mtaalamu hapa zile familia za kipwani, lkn la muhimu dua nyingi kwa mwanao.
4. Ukichepuka nje ya ndoa ukirud kwako kabla ya kufanya lolote n kuoga na kujitwarisha ndo umshike mwanao lasivyo utamu haribu mtoto, waswahil wanakwambia utambemenda, sio ww baba kuchepuka nje tu ata ukimgegeda huyo mama watoto wako hakikisha mnaoga kabla hamjamshika mtoto, ata ikitokea mtt analia kufa n marufuku kwenda mnyonyesha au kumshika bila kuoga.
5. Hawez kudhurika mana hakuna bond yoyote, madhara ni nyie wawil baba au mama akagegedane huko thn bila kuoga amshike mwanae.
6. Mtoto Anyonye kisawasawa hususani sku saba za mwanzo, mpe Lishe bora mama watoto hasikose supu ndani ya sku 40, uji wenye virutubisho, matunda vita fanya maziwa yawe mengi na yenye Kinga nzuri kwa mtoto.
7. Kwa jamii nying za kipwani kitovu huwa kinafukiwa baadaa ya sku 40, ata nywele za mtt zile za kwanza kukatwa znazikwa.
MUHIMU: Mzazi ndani ya miez sita hatakiwi kujipuliza perfume, spray na chochote chenye harufu kali kitamsababishia mtoto kupata mafua mara kwa mara.