E elijaah JF-Expert Member Joined Jul 13, 2023 Posts 1,094 Reaction score 2,389 Nov 18, 2024 #41 Kasomeko said: Nje ya nyumba au nje ya geti? Click to expand... Bado cjamilik mjengo wenge geti mkuu nilipo sas nimejenga kwa kujishkiza kwa muda tu kathri langu bado halijakamilika π
Kasomeko said: Nje ya nyumba au nje ya geti? Click to expand... Bado cjamilik mjengo wenge geti mkuu nilipo sas nimejenga kwa kujishkiza kwa muda tu kathri langu bado halijakamilika π
E elijaah JF-Expert Member Joined Jul 13, 2023 Posts 1,094 Reaction score 2,389 Nov 18, 2024 #42 kimara Kimara said: Asante Sana, ila wanasema ni vizuri kumbadilishia mazingira asikae sana sehem moja. Click to expand... Ni kweli ila saiv kila week end anaenda kushinda kwa bibi ake anarudi j3 now ako ma umri wa mwaka 1 na miezi 7
kimara Kimara said: Asante Sana, ila wanasema ni vizuri kumbadilishia mazingira asikae sana sehem moja. Click to expand... Ni kweli ila saiv kila week end anaenda kushinda kwa bibi ake anarudi j3 now ako ma umri wa mwaka 1 na miezi 7
kimara Kimara Member Joined Jul 7, 2024 Posts 80 Reaction score 173 Nov 18, 2024 Thread starter #43 elijaah said: Ni kweli ila saiv kila week end anaenda kushinda kwa bibi ake anarudi j3 now ako ma umri wa mwaka 1 na miezi 7 Click to expand... Sawa na hongera
elijaah said: Ni kweli ila saiv kila week end anaenda kushinda kwa bibi ake anarudi j3 now ako ma umri wa mwaka 1 na miezi 7 Click to expand... Sawa na hongera