kasome masters in International Business Law. Labda utakuja kuisadia nchi hii dhidi ya mikataba ya uwekezaji wa kimataifa.Habari wana JF me ni mwanafunzi wa shelia mwaka wa mwisho Iringa ningependa kuongeza taharuma zaidi ninapo hitimu degree yangu lakini katika fani tofauti ambayo nitaweza kuattach na field yangu ya shelia bila kupitia law school hivyo naomba ushauli wenu nini naweza kusoma kama post graduate baada ya kumaliza undergraduate. Ntashukuru kwa mawazo yenu na nitayafanyia kazi
Habari wana JF me ni mwanafunzi wa shelia mwaka wa mwisho Iringa ningependa kuongeza taharuma zaidi ninapo hitimu degree yangu lakini katika fani tofauti ambayo nitaweza kuattach na field yangu ya shelia bila kupitia law school hivyo naomba ushauli wenu nini naweza kusoma kama post graduate baada ya kumaliza undergraduate. Ntashukuru kwa mawazo yenu na nitayafanyia kazi
kasome masters in International Business Law. Labda utakuja kuisadia nchi hii dhidi ya mikataba ya uwekezaji wa kimataifa.
mkuu, nami nimebaki nashangaa! Nilidhani wanaosoma sheria huwa ni wazuri katika lugha! najiuliza angeandika kiingereza sijui kingesomeka vipi??Dah..! kama wewe ni mwanafunzi wa sheria na uko hivyo, nakushauri ukihitimu hiyo shahada yako (kama kweli) ukapige kozi fupi ya kusoma na kuandika ili urekebishe humo kwenye bold, then uje tukushauri, otherwise naogopa sana...
Habari wana JF me ni mwanafunzi wa shelia mwaka wa mwisho Iringa ningependa kuongeza taharuma zaidi ninapo hitimu degree yangu lakini katika fani tofauti ambayo nitaweza kuattach na field yangu ya shelia bila kupitia law school hivyo naomba ushauli wenu nini naweza kusoma kama post graduate baada ya kumaliza undergraduate. Ntashukuru kwa mawazo yenu na nitayafanyia kazi
wewe uliye "back to topic" kwani mleta "kihoja"Kwani ni lazima mtoa mada awe amesomea Tz,kias ajue kiswahili vzuri?
Acheni mambo ya ajabu na kukosoa kusiko na mpango!
BACK TO TOPIC:
Usiogope Law school bhana,si ngumu khvo...