MikeMwani
Member
- Nov 24, 2011
- 10
- 0
Habari wana JF me ni mwanafunzi wa shelia mwaka wa mwisho Iringa ningependa kuongeza taharuma zaidi ninapo hitimu degree yangu lakini katika fani tofauti ambayo nitaweza kuattach na field yangu ya shelia bila kupitia law school hivyo naomba ushauli wenu nini naweza kusoma kama post graduate baada ya kumaliza undergraduate. Ntashukuru kwa mawazo yenu na nitayafanyia kazi