Nini chakusomaa baada ya kumaliza bachelor of law tofauti na law school


Mkuu mimi nakushauri nenda kasome English course na kiswahili Udsm..maana uko vibaya sana..kwa mtu kama wewe sitashangaa plaint ukiiandika pleint..daaahh..this is so gross..learned brother..
 

Una maana gani?
wanaosoma TUMAINI hawajui kusoma na kuandika?
 
Sina cha kusema maana yote mmemaliza.
Huyu jamaa anaonekana STD I-VII hakupita.
 
Mwenzio nilimaliza LLB hiyo hiyo nikaenda jeshi sasahv napeta tu ni Leftnant nina nyota 2,
ila kama unapenda kuwa lawyer nenda law school au kama utaweza piga post au masters ya political science utapata kazi za humanitarian ktk nchi nyingi za africa.
Just follow ur heart dear.
 
Ushauri wangu ungehudhuria masomo ya kiswahili ya jioni mpaka utakapokiweza, baada ya hapo njoo tutakushauri zaidi nini cha kufanya.Sawa "Mwanashelia"?
 
Thank you tasila.
 
Mkuu mimi nakushauri nenda kasome English course na kiswahili Udsm..maana uko vibaya sana..kwa mtu kama wewe sitashangaa plaint ukiiandika pleint..daaahh..this is so gross..learned brother..
sasa English course na kiswahili kinahusiana Vipi hapo ama umekosa charisma?..
 
sasa English course na kiswahili kinahusiana Vipi hapo ama umekosa charisma?..


Thank you so much..
 
Yeah nimepost what it was in my mind kawaida me ni binafamu na Sio malaika hivyo kukosea nipart of my learning ila dhumuni langu ni ujumbe na Sio maandishi niliondika kama msomi utaelewa na utaweza kunishauri kama mjinga utaendeleza ujinga wako wakukosoa maandishi na si ujumbe. Asante jf members
 
mh. mjeda aah hapo umenitia wasiwasi na LL.B yako kwamba ili huwe lawyer ni mpaka upite law school...?? hivi unajua hata WHO IS A LAWYER in a simple language au huko jeshini lawyer ni nani na aliyesoma LL.B (Bachelor degree of Laws) kama wewe mnawaitaje...??
BACK TO THE TOPIC :
Kama huna mpango wa kupractice law kabisa hope unanielewa nikisema kupractice basi soma masters au post graduate ya jambo jingine ila mi ningekushauri use masters ya corparate management maana unaweza ajiriwa kwny makampuni as an administrator otherways law school inahusika hata ka huipendi maana it is there only way ambayo unaweza kuwa litigant lawyer (Advocate au state attorney) na siku hizi kila ofisi inayotangaza ajira/post ya legal officer kigezo kimoja wapo ni huwe umafahulu law school.
sasa hiyo law school baba ake mnvyuuuu...
 

tafuta connection, tafuta connection
 
sasa English course na kiswahili kinahusiana Vipi hapo ama umekosa charisma?..

Kama kiswahili chenyewe hukiwezi/hakiwezi vizuri..obviously hata kingereza yuko vibaya..thats a wider view..brother...
 
Una maana gani?
wanaosoma TUMAINI hawajui kusoma na kuandika?

naheshimu sana mawazo ya kila mtu ila hapa naomba nitofautiane kidogo na wewe tumaini ni taasisi,sikweli kwamba tatizo lake la kuandika vibaya kiswahili ni kwa sababu anasoma Tumaini hilo ni tatizo lake binfsi,halafu sikweli kwamba wote wanaosoma Udsm wako smart kama unavyodhani juzi tumetoka kumfukuza mtu ofsini kwa utendaji wake wa ovyo wa kazi na nimhitimu wa hapo Udsm,Wanasheria wakuu wa serikali ni zao la Udsm umeona n nini wameitendea nchi hii? Kwa hiyo hayo wanayotenda na kusema tukilaum chuo cha Udsm au ni tabia zao wenyewe. Si vema sana kwa mwanataaluma kutoa majibu ya jumla namna hii,ungemshauri kurekebisha makosa yake katika lugha na wakati mwingine watumiaje wa huu mtandao wengine hata hawajui kuwa unaweza kupitia na kuandika upya post yako (editing)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…