mokala1989
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 2,236
- 728
shelia, taaruma ushauli ....... Afadhali usiende law school utateseka sana
anajijua, akienda law school hamalizi, vyuo vingine ni majanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shelia, taaruma ushauli ....... Afadhali usiende law school utateseka sana
Habari wana JF me ni mwanafunzi wa shelia mwaka wa mwisho Iringa ningependa kuongeza taharuma zaidi ninapo hitimu degree yangu lakini katika fani tofauti ambayo nitaweza kuattach na field yangu ya shelia bila kupitia law school hivyo naomba ushauli wenu nini naweza kusoma kama post graduate baada ya kumaliza undergraduate. Ntashukuru kwa mawazo yenu na nitayafanyia kazi
Da! Mhe. TUNDU LISSU, alisema ma judge wa Mahakama kuu hasa anaoteua jamaa yetu wa Mgagogoni hawajui kiingereza
mimi nasema Mahakimu wa mahakama za mwanzo na wa wilaya hawajui kiswahili. pamoja na wanasheria uchwara kama huyu. Ila kwa kuwa upo TUMAINI sawa ungekuwa UDSM hata huo mwaka wa mwisho usingefika.
Anyway ukimaliza nenda usome BED in Kiswahili. hapo sasa utaweza kusoma na kuandika vifungu kwa ufasaha.
anajijua, akienda law school hamalizi, vyuo vingine ni majanga
Sina cha kusema maana yote mmemaliza.
Huyu jamaa anaonekana STD I-VII hakupita.
Thank you tasila.Mwenzio nilimaliza LLB hiyo hiyo nikaenda jeshi sasahv napeta tu ni Leftnant nina nyota 2,
ila kama unapenda kuwa lawyer nenda law school au kama utaweza piga post au masters ya political science utapata kazi za humanitarian ktk nchi nyingi za africa.
Just follow ur heart dear.
sasa English course na kiswahili kinahusiana Vipi hapo ama umekosa charisma?..Mkuu mimi nakushauri nenda kasome English course na kiswahili Udsm..maana uko vibaya sana..kwa mtu kama wewe sitashangaa plaint ukiiandika pleint..daaahh..this is so gross..learned brother..
sasa English course na kiswahili kinahusiana Vipi hapo ama umekosa charisma?..
Mwenzio nilimaliza LLB hiyo hiyo nikaenda jeshi sasahv napeta tu ni Leftnant nina nyota 2,
ila kama unapenda kuwa lawyer nenda law school au kama utaweza piga post au masters ya political science utapata kazi za humanitarian ktk nchi nyingi za africa.
Just follow ur heart dear.
Mwenzio nilimaliza LLB hiyo hiyo nikaenda jeshi sasahv napeta tu ni Leftnant nina nyota 2,
ila kama unapenda kuwa lawyer nenda law school au kama utaweza piga post au masters ya political science utapata kazi za humanitarian ktk nchi nyingi za africa.
Just follow ur heart dear.
mh. mjeda aah hapo umenitia wasiwasi na LL.B yako kwamba ili huwe lawyer ni mpaka upite law school...?? hivi unajua hata WHO IS A LAWYER in a simple language au huko jeshini lawyer ni nani na aliyesoma LL.B (Bachelor degree of Laws) kama wewe mnawaitaje...??
BACK TO THE TOPIC :
Kama huna mpango wa kupractice law kabisa hope unanielewa nikisema kupractice basi soma masters au post graduate ya jambo jingine ila mi ningekushauri use masters ya corparate management maana unaweza ajiriwa kwny makampuni as an administrator otherways law school inahusika hata ka huipendi maana it is there only way ambayo unaweza kuwa litigant lawyer (Advocate au state attorney) na siku hizi kila ofisi inayotangaza ajira/post ya legal officer kigezo kimoja wapo ni huwe umafahulu law school.
sasa hiyo law school baba ake mnvyuuuu...
sasa English course na kiswahili kinahusiana Vipi hapo ama umekosa charisma?..
Una maana gani?
wanaosoma TUMAINI hawajui kusoma na kuandika?