naheshimu sana mawazo ya kila mtu ila hapa naomba nitofautiane kidogo na wewe tumaini ni taasisi,sikweli kwamba tatizo lake la kuandika vibaya kiswahili ni kwa sababu anasoma Tumaini hilo ni tatizo lake binfsi,halafu sikweli kwamba wote wanaosoma Udsm wako smart kama unavyodhani juzi tumetoka kumfukuza mtu ofsini kwa utendaji wake wa ovyo wa kazi na nimhitimu wa hapo Udsm,Wanasheria wakuu wa serikali ni zao la Udsm umeona n nini wameitendea nchi hii? Kwa hiyo hayo wanayotenda na kusema tukilaum chuo cha Udsm au ni tabia zao wenyewe. Si vema sana kwa mwanataaluma kutoa majibu ya jumla namna hii,ungemshauri kurekebisha makosa yake katika lugha na wakati mwingine watumiaje wa huu mtandao wengine hata hawajui kuwa unaweza kupitia na kuandika upya post yako (editing)