Nini chakusomaa baada ya kumaliza bachelor of law tofauti na law school

Nini chakusomaa baada ya kumaliza bachelor of law tofauti na law school

naheshimu sana mawazo ya kila mtu ila hapa naomba nitofautiane kidogo na wewe tumaini ni taasisi,sikweli kwamba tatizo lake la kuandika vibaya kiswahili ni kwa sababu anasoma Tumaini hilo ni tatizo lake binfsi,halafu sikweli kwamba wote wanaosoma Udsm wako smart kama unavyodhani juzi tumetoka kumfukuza mtu ofsini kwa utendaji wake wa ovyo wa kazi na nimhitimu wa hapo Udsm,Wanasheria wakuu wa serikali ni zao la Udsm umeona n nini wameitendea nchi hii? Kwa hiyo hayo wanayotenda na kusema tukilaum chuo cha Udsm au ni tabia zao wenyewe. Si vema sana kwa mwanataaluma kutoa majibu ya jumla namna hii,ungemshauri kurekebisha makosa yake katika lugha na wakati mwingine watumiaje wa huu mtandao wengine hata hawajui kuwa unaweza kupitia na kuandika upya post yako (editing)

By iPad ya Apple
"Da! Mhe. TUNDU LISSU, alisema ma judge wa Mahakama kuu hasa anaoteua jamaa yetu wa Mgagogoni hawajui kiingereza
quote_icon.png


mimi nasema Mahakimu wa mahakama za mwanzo na wa wilaya hawajui kiswahili. pamoja na wanasheria uchwara kama huyu. Ila kwa kuwa upo TUMAINI sawa ungekuwa UDSM hata huo mwaka wa mwisho usingefika.

Anyway ukimaliza nenda usome BED in Kiswahili. hapo sasa utaweza kusoma na kuandika vifungu kwa ufasaha."
Nadhani huo ushauri ungempa huyo aliyoandika hayo, by the way I was asking him not you,
 
LL,B Tumaini ni mwendo wa mafirst class na upper second

Tumaini ya wapi hiyo? Tumaini ya Iringa sasa Chuo kikuu cha Iringa toka kina kinaanza kimetoa first class moja tu. Fanya uchunguzi mwepesi tu majaji wanaolalamikiwa kwa kuwa wabovu wamesoma wapi?
 
Back
Top Bottom