Nipo kwenye institutions fulani ya elimu hapa Tanzania. Nina kama elfu 50,000 hivi, ninaweza KUFANYA kitu. Nimeona nitafte vijana wangu wawili ninaowaamini niwe natengeneza maandazi kisha wanaenda kuuza wao (ujuzi ninao).
Naomba anaefahamu changamoto zake anijuze pia Budget niiset vipi.