Nini changamoto ya biashara ya kutengeneza maandazi?

Nini changamoto ya biashara ya kutengeneza maandazi?

MONRACE

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2018
Posts
272
Reaction score
640
Heshima zenu wakuu wangu, ninaomba msaada.

Nipo kwenye institutions fulani ya elimu hapa Tanzania. Nina kama elfu 50,000 hivi, ninaweza KUFANYA kitu. Nimeona nitafte vijana wangu wawili ninaowaamini niwe natengeneza maandazi kisha wanaenda kuuza wao (ujuzi ninao).

Naomba anaefahamu changamoto zake anijuze pia Budget niiset vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini usiuze mwenyewe mkuu

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Back
Top Bottom