Nini chanzo cha foleni ndefu toka Kimara hadi Shekilango?

Nini chanzo cha foleni ndefu toka Kimara hadi Shekilango?

Huwezi kuwa serious, round about ulinganishe na ile double decker bridge?
Kwa magari yanayopita chini lazima yapite kwa zamu hatimaye foleni, hilo tatizo linatatuliwaje?

Ikumbukwe lengo la hilo Daraja ilikuwa ni kutatua foleni, lakini tatizo bado lipo kwa magari yanayopita chini
 
Folen inasababishwa sana pale kimara mwsho darajan

Daladala pale Zina fanya kama stend kupakia abiria na lile eneo ni dogo hivyo usababisha kuziba NJIA ilo tatzo nime liona kwa muda, na ni Mala nyingi huwa hivyo kingine ni zile u turn za pale bucha nabaruti zinachangia kwa kiasi

Mkuu sidhani Kama umeobserve vyema
Foleni inasababishwa zaidi na eneo la korogwe stand kuliko kimara
 
Ni kweli hata barabara imefinyika kuna wakati magari yanalazimika kutumia lanes za mwendokasi yakifika pale
hao planners sijui surveyor kwa njia kuanzia kibo mpaka korogwe sijui hata walifikiria nini
 
Hiyo sehemu na pia mbezi mwisho zinahitaji round about? Traffic badala ya kufanya kazi nyingine wanabaki kuongoza magari

Uzuri wa round about ni "fisrt in first out" haina haja ya kukaa dk nzima wakati upande mwingine una magari machache au mengi kuliko mwingine.
 
FIFO
 
Back
Top Bottom