Nini chanzo cha foleni ndefu toka Kimara hadi Shekilango?

Huwezi kuwa serious, round about ulinganishe na ile double decker bridge?
Kwa magari yanayopita chini lazima yapite kwa zamu hatimaye foleni, hilo tatizo linatatuliwaje?

Ikumbukwe lengo la hilo Daraja ilikuwa ni kutatua foleni, lakini tatizo bado lipo kwa magari yanayopita chini
 

Mkuu sidhani Kama umeobserve vyema
Foleni inasababishwa zaidi na eneo la korogwe stand kuliko kimara
 
korogwe stand kuliko kimara
Ni kweli hata barabara imefinyika kuna wakati magari yanalazimika kutumia lanes za mwendokasi yakifika pale
 
Ni kweli hata barabara imefinyika kuna wakati magari yanalazimika kutumia lanes za mwendokasi yakifika pale
hao planners sijui surveyor kwa njia kuanzia kibo mpaka korogwe sijui hata walifikiria nini
 
Hiyo sehemu na pia mbezi mwisho zinahitaji round about? Traffic badala ya kufanya kazi nyingine wanabaki kuongoza magari

Uzuri wa round about ni "fisrt in first out" haina haja ya kukaa dk nzima wakati upande mwingine una magari machache au mengi kuliko mwingine.
 
FIFO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…