Nini chanzo cha kusambaa Kwa ushoga Tanzania?

Hata kuandika hujui au huwezi, hivi ni kwanini mnapopinga ushoga, lazima muingize hoja ya Mungu/Shetani??

Huyo Mungu yupo?? Shetani je?? Uhakika wa uwepo wao ni upi? Je ikiwa ni story za kusadikika wala hazina ukweli wowote??

Kwahiyo Ushoga ni dhambi, km mnavyosema wenyewe? Vipi uzinzi? Uasherati? Umalaya?

Km ndo pingamizi juu ya ushoga mnaleta hekaya za Dini, bas mtachelewa sana, watu wameshatoka kwenye hizo story za uongo.

Mashoga wanakufa kwa matatizo ya uti wa mgongo, kwani straight uchwara hawafi?? Wao hawapati matatizo ktk miili yao??.

Mnakosaga hoja, au ni nini?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ungeleta takwimu kabisa

TATIZO ,linaanzia wizara ya afya by mwakyembe
 
Ushoga ni matokeo ya kuiga kila kitu tunachokiona kwa watu weupe.
Bahati mbaya sana wazungu wameanza kuridhia ushoga makanisani.
Muda siyo mrefu makanisa ya Afrika yataiga kupitia kile kinachoitwa "Haki za binadamu".
 
Duh kwa hio umeshafirw** mkuu ? Ulikula ukaombwa ukatoa na ww sio
Hapana mkuu ila tulikokua tunaelekea ndio huko maana kila unaekutana nae anatka mfanye zam zam na anakuwekea hela sasa ukiangalia umetoka gongo la mboto mpaka mbez saa sita uko chumban wawil unamla mtu gafla anataka akugeuze uko kwake mko uchi si salana kwako ipo siku ingetokea tu kama ningeendelea kuzubaaa maana mashoga haqa unawaona asilimia k7bwa walianza km mabaasha yaan hawaliwi wanawala wenzao baadae wakataka kuonja wakanogewa
 
Nikiwa nawaita watu humu wengi machoko au wana vinasaba vya uchoko muwe mnanielewa sio nalopokalopoka
Huu usenge umeshaingia bongo kwa nguvu kubwa na muda sio mrefu itakuwa unakokota bonge la demu mrembo tako kubwa akifika na kukuvulia ndio unajua kidume
Kenya imeshaoza sasa huwezi tofautisha
 
Lakn mkuu... unadindishaje mbele ya Dume jenzio lina uboo? dah... hisia zinakujaje? Pole, kama umetoka huko ukatubu kwa imani yako ..Muslim, Christian, whatever
 
ZINGUKENI KOOTE LAKINI CHANZO CHA USHOGA KUKUA HASA KWENYE MAJIJI MAKUBWA NI WANAWAKE,NARUDIA WANAWAKE NDO WANAOFANYA PROMOTION KUBWA YA KUWAPROMOTE NA KUWAKINGIA VIFUA HAWA MASHOGA.

POPOTE ALIPO SHOGA HUWEZI KUMKOSA MWANAMKE KANDO YAKE SINUI KUNA SIRI GANI.

ILA NI NGUMU SANA KUMKUTA SHOGA ANA URAFIKI NA MWANAUNE RIJALI AMA HATA WANAONGOZANA NA HATA KAMA AKIWA NDO BWANA WAKE BASI HUKUTANA KISIRI MNO LAKINI SIYO WANAWAKE DAH NILALE MAANA JUZI KUNA LIMOJA NILILIPIGA KOFI NUSURA NILIUE
 
King Kong III una chochote kitu Cha kuongeza Mkubwa?, umeona maoni ya kijana wako?
 
3
 

Kwahiyo walikupaka mafuta ya taa wakakufira, huna rinda πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lakn mkuu... unadindishaje mbele ya Dume jenzio lina uboo? dah... hisia zinakujaje? Pole, kama umetoka huko ukatubu kwa imani yako ..Muslim, Christian, whatever
Kuna roho ya ushetan lazima uivae yaan unakua sio binadam wa kawaida
 
Wee useme ukweli ni Versatile, na umeshaliwa.
Acha kujistukia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kuna Pure Tops wako kwa industry miaka na miaka na hawafanyi role isiyomuhusu.

Nyie mnaingia kwa industry kwa tamaa na vishawishi ndo mnakutana na hayo mazonge.
Poleeeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…