King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Umofia kwenu wana JF,
Mwishoni mwa miaka ya 2010 mpaka mwishoni mwa 2011 kuli trend sana kizazi cha Supra na Caro light hapa tanzania,kila kijana lazima awe na supra na kimodel na dada lazima alambe mkorogo wa caro light.
Kwa sasa siwaoni kabisa vijana wakitinga midosho ya supra na wadada wakipapatikia carolight zaidi ya kunywa maji mengi tu,Kila dada ukimuona amekunywa maji lakini hatujui maji ya aina gani wanayokunywa kwa sasa.