Nini chanzo cha kutopata usingizi

Nini chanzo cha kutopata usingizi

Ni kama mwaka sasa nimekeua sipati usingizi kabisa kwa muda mwafaka ninao takiwa kupumzika iwe usiku au mchana matokeo yake usingizi kwangu imekua kama ni jambo la bahati mbaya coz naweza panda kitandani saa tatu usiku hadi inafka saa kumi bado sina usingizi hata kidogo jaman naombeni ushauri nini chaweza kua chanzo cha tatizo langu coz natamani nami niwe na muda wa kupumzka bt nashindwa na kubaki kuangaika tu kitandan

kunywa beer 2 then lala.
 
aise nenda hospital mana kutokalala kuna sababisha matatizo ya akil hadi kupelekea kichaa nilikuwa na rafki yangu alikuwa na tatizo la kutokulala likapelekea kuumwa hyo ni dalili ya magonjwa ya akili nenda hospital kubwa mkuu
 
Kama si uchizi basi ni mwanzo wa uchizi.

Sitaki kuamini kama ndio wewe umechangia hivyo.
Maana hata chizi ana lala.

Naungana na jamaa hapo juu,ni msongo wa mawazo
Hii hutokea kwa mtu yoyote kwa baadhi ya vipindi.
Ila mie kwangu ikitokea basi huwa nafanya mazoezi muda wa jioni kwa muda mrefu.Basi hapo akili utakuwa umeibadilisha na mwili na ubongo uko vizuri sana kupokea amri zako.Ila kama huna mazoezi jaribu leo nauone mabadiliko.
Pia Jaribu kuwa na watu na usijitenge sana,ila angalia ni kundi gani unalokaa,maana unaweza kukuta badala ya kupunguza ukaongeza.
Kaa na makundi yenyek uwa na mitizamo chanya na sio Maskani za kisiasa,vijiwe vya wavuta bangi au makundi ya waliokata tamaa ya maisha.
Epuka sana kupewa Dawa za kumeza au dawa za aina yoyote kwa hatua ya awali,maana hali inawezakuwa sugu,itakuwa huwezi kilala bila kutumia dawa hizo ,mwisho wa siku unakosa usingizi kabisaa,(Serious)
Na hii itakuwa dalili ya kuwa MWANGA sasa,maana utaona usingizi huna bora ukawange usiku(Joke)
 
1.Stress tena zile zinazogusa sekta nyeti za maisha(mahusiano,mambo ya fedha,afya kua hatarin etc)
2.Kushndwa kuzuia hofu ya jambo fulan.

ushauri mzuri
 
Mkuu unasumbuliwa na stress na zinakutafuna vibaya bila kujitambua....hebu jiangalie kwenye nyanja hz kama upo sawa
1. Mapenzi
2. Kiuchumi
3. Familia
4. Kazini
5. Marafiki
Kama kuna kimoja kinakutatiza hapo na unakiwaza sana basi ni moja ya chanzo...
Na pia inaelekea mwili wako si wa kujishughulisha hauchoki sana mpaka ifikapo jioni...jaribu kufanya mazoezi hii itakusaidia
1. Mwili kuchoka hvyo kupatwa na usingizi
2. Akili kutowaza mambo mengi sana hvyo kukupunguzia stress....
Pia uwe na utaratibu wa kula vyakula vyepesi na maji ya kutosha.....
Chonde chonde usitumie vidonge vya usingizi maana vina madhara hapo baadae usije kuwa addicted.....

nashukuru kwa ushauri mzuri
 
aise nenda hospital mana kutokalala kuna sababisha matatizo ya akil hadi kupelekea kichaa nilikuwa na rafki yangu alikuwa na tatizo la kutokulala likapelekea kuumwa hyo ni dalili ya magonjwa ya akili nenda hospital kubwa mkuu

ahsante kwa ushauri
 
Punguza mawazo kama kuna jambo linakutatiza litafutie suluhu

Ikishindikana piga mtungi utakuja tu
 
aisee, HILO NI TATIZO LA KIAFYA UNASHAULIWA KUMUONA DAKTARI WAKO KWA AJILI YA USHAURI WA KITAALAMU ZAIDI, NA PENGINE IKIBIDI DAKTARI WAKO ANAWEZA KUKUPA RUFAA YA KUMUONA DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA AKILI. POLE SANA.
 
Sitaki kuamini kama ndio wewe umechangia hivyo.
Maana hata chizi ana lala.

Naungana na jamaa hapo juu,ni msongo wa mawazo
Hii hutokea kwa mtu yoyote kwa baadhi ya vipindi.
Ila mie kwangu ikitokea basi huwa nafanya mazoezi muda wa jioni kwa muda mrefu.Basi hapo akili utakuwa umeibadilisha na mwili na ubongo uko vizuri sana kupokea amri zako.Ila kama huna mazoezi jaribu leo nauone mabadiliko.
Pia Jaribu kuwa na watu na usijitenge sana,ila angalia ni kundi gani unalokaa,maana unaweza kukuta badala ya kupunguza ukaongeza.
Kaa na makundi yenyek uwa na mitizamo chanya na sio Maskani za kisiasa,vijiwe vya wavuta bangi au makundi ya waliokata tamaa ya maisha.
Epuka sana kupewa Dawa za kumeza au dawa za aina yoyote kwa hatua ya awali,maana hali inawezakuwa sugu,itakuwa huwezi kilala bila kutumia dawa hizo ,mwisho wa siku unakosa usingizi kabisaa,(Serious)
Na hii itakuwa dalili ya kuwa MWANGA sasa,maana utaona usingizi huna bora ukawange usiku(Joke)

nimependa ushauri wako
 
aisee, HILO NI TATIZO LA KIAFYA UNASHAULIWA KUMUONA DAKTARI WAKO KWA AJILI YA USHAURI WA KITAALAMU ZAIDI, NA PENGINE IKIBIDI DAKTARI WAKO ANAWEZA KUKUPA RUFAA YA KUMUONA DAKTARI BINGWA WA MAGONJWA YA AKILI. POLE SANA.

ahsante sana
 
Back
Top Bottom