Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Katika jamii yoyote huwa kuna utofauti wa vipato kiuchumi kwa makundi mbalimbali ya watu.
Sio jambo jipya kwamba kote duniani na hata hata bongo Wapo watu masikini kabisa, wa kipato cha kawaida, kati, matajiri na matajiri waliopitiliza. Jipya la sasa ni ibada kwa matajiri, watu wamekuwa wanawasifia matajiri kwa kiwango cha ibada kufikia kuwaambia "HAWANA BAYA KABISA NA WAKIFA HAWAOZI!"
Kuna vijana na watu wazima wa Dar sasa wamegeuza kuwasifia matajiri kuwa wazi kazi rasmi ya kuwaingizia kipato na kuishi! Hili ni jipya kwangu sijawahi kuliona popote duniani! Sasa mtindo huu wa maisha umeingia hadi chini mtaani, watu wanawasifia matajiri kwa mtindo wa ibada nao wanajichekelesha tu!