Nini chanzo cha Mshipa,busha au jilimaji? Nini hasa tiba yake na jinsi ya kuzuia?

Lavan Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
2,377
Reaction score
2,048
Jamani habari za humu Jf
Naomba kwa anae fahamu nnini kina sababisha mtu kupatwa na mshipa,busha au jilimaji?Chanzo chake na tiba na jinsi ya kuzia
Asanteni sana
 
CHANZO
Busha (Hydrocele or hydrocoele) husababishwa na uwepo wa majimaji flani kwenye vifuko vya korodani. Hali hii husababishwa na minyoo aina ya filaria (wuchereria bancrofti, brugia malayi na brugia timori) ambao huziba mfumo wa lymph unaorudisha lymph kwenye mfumo wa damu hivyo kusababisha kimiminika hicho kiitwacho lymph kujikusanya kwenye vifuko hivyo, minyoo hii ya filaria huenezwa na mbu aina ya anopheles, aedes na mansonia ambao huahamisha minyoo kutoka kwa mgonjwa kwenda kwa mtu mzima.

TIBA:
Dawa aina ya Ivermectin au Oral diethylcarbamazine ukichanganya na antibiotics mf: doxycycline ili kuua symbiotic bacteria wanaoambatana na minyoo hiyo pia excision Surgery (upasuaji wa kuondoa busha) kwa kesi sugu.

KINGA:
Kinga ni kuzuia maambukizi kutoka kwa vectors ambao ni mbu kwa kutumia dawa za kuua wadudu na njia nyinginezo kama matumizi ya vyandarua vyenye dawa.
 
Well,thanks brother
 
Mkuu, korodani langu moja la kulia limevimba.... Linaonekana kuwa kubwa kuliko lingine na huwa linafanya upande huo kwa juu kidogo paume.
Tatizo linaweza kuwa ni nini ?
Hapo fika hospitali haraka bro, ni vitu vingi sana vinovyoweza kusababisha hali hiyo unahitaji uchunguzi wa kina asee tena kiungo muhimu kama hiyo.
 
busha hutokana na kugegeda mwanamke akiwa mwezini
 
CHANZO
Busha (Hydrocele or hydrocoele) husababishwa na uwepo wa majimaji flani kwenye vifuko vya korodani. Hali hii husababishwa na minyoo aina ya filaria (wuchereria bancrofti, brugia malayi na brugia timori) ambao huziba mfumo wa lymph unaorudisha lymph kwenye mfumo wa damu hivyo kusababisha kimiminika hicho kiitwacho lymph kujikusanya kwenye vifuko hivyo, minyoo hii ya filaria huenezwa na mbu aina ya anopheles, aedes na mansonia ambao huahamisha minyoo kutoka kwa mgonjwa kwenda kwa mtu mzima.

TIBA:
Dawa aina ya Ivermectin au Oral diethylcarbamazine ukichanganya na antibiotics mf: doxycycline ili kuua symbiotic bacteria wanaoambatana na minyoo hiyo pia excision Surgery (upasuaji wa kuondoa busha) kwa kesi sugu.

KINGA:
Kinga ni kuzuia maambukizi kutoka kwa vectors ambao ni mbu kwa kutumia dawa za kuua wadudu na njia nyinginezo kama matumizi ya vyandarua vyenye dawa.
Kwahiyo hii kitu inayotiba nyingine,pasipo upasuaji .......???
 
Kwa hatua za mwanzo sana ambapo sio rahisi hata kuonekana kwa macho, ila bisha likishaonekana kabisa inqbidi lipasuliwe tuu
 
Mbona watu wa maeneo ya Pwani ndo wenye mabusha sana? Ina maana kuna mbu wengi wa aina hiyo?
 
Back
Top Bottom