Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Tunatofautiana mtazamo.Uza pagala fanya biashara, fuga, lima nunua hisa za UTT Amis au weka fixed deposits n.k badala ya kusubiria uzeeni uje umalizie pagala
Hata kama ni kuuza si kijinga jinga, bora asubiri hiyo miaka 20 ndo auze kuliko kuuza m10 sasa hivi apeleke shambani unless anapewa pesa nzuri sana sasa hivi.
Kuna mzee mmoja mwaka juzi kuaza nusu ya eneo lake ambalo ujanani alinunua below 10m kwa M200 kwa ajili ya kituo cha mafuta. Angeuza mapema miaka 20 nyuma akaweka fixed asingepata hiyo pesa.
Lets say mmiliki yupo 45, Akiweka fixed au utt for 15 years kwamba akifika 60 achukue ajenge na huu mfumuko wa bei hicho kinachoongezeka kwenye hiyo pesa kinaweza kikawa na thamani ndogo kuliko kiwanja kilichokaa miaka 15 kisha akaamua kuuza. Unless hilo eneo liwe la mbali mnoo.