Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣mweehWanafanana na wale ng’ombe wa wahindi.
😀😀unataka kusemajeUrembo tu.
Binafsi, mwanamke wa namna hiyo hanivutii kabisa na sio ladha zangu ila nadhani wanafanya hivyo ili kuvutia watu au wao wenyewe😀😀unataka kusemaje
Vinakera sanaKumekuwepo na ongezeko la Idadi kubwa ya wanawake wanaotoboa pua zao na kuziwekea vipini.
Nani aliwadanganya wanapendeza kuvaa hereni puani?