Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,521
Mimi nimeona wengi... Wa hivyoHiyo research uliifanya kwa wanawake wangapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nimeona wengi... Wa hivyoHiyo research uliifanya kwa wanawake wangapi?
Wangapi???
Kama umewahi kununua mwili chukua reference au kama hununi nenda club kuanzia saa 7 utaona mademu wakali wanakuja waangalie puaniWangapi???
Upo mji gani???Kama umewahi kununua mwili chukua reference au kama hununi nenda club kuanzia saa 7 utaona mademu wakali wanakuja waangalie puani
Tafuta wanawake wa Tanga wanaovaa vikuku, au wanawake wa hapa mjini wanaovaa vikuku...
Wote kwa zaidi ya 90% utaona wametoboa pua pia wengi wanatoo.
Sent using Jamii Forums mobile app
kwani bro ladha zako huwa unapata puani.. 😌Binafsi, mwanamke wa namna hiyo hanivutii kabisa na sio ladha zangu ila nadhani wanafanya hivyo ili kuvutia watu au wao wenyewe
Niko mbali sana... But nimeruka sana.Upo mji gani???
Ilikuwa maeneo ya wapi mkuu ili na mimi nifanye utafiti wangu.Niko mbali sana... But nimeruka sana.
Wadada kibao niliopita nao walikuwa wametoboa pua na walikuwa na tatoo.. Na hata marafiki zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu yangu Dar na Tanga... Jaribu kufatilia wanawake wametoboa puaIlikuwa maeneo ya wapi mkuu ili na mimi nifanye utafiti wangu.
Safi dear.. Matobo uliyozaliwa nayo, yanatosha.katika vitu vilivyonishinda kutoboa ni pua
Huo ni urembo tu mkuu,,Kumekuwepo na ongezeko la Idadi kubwa ya wanawake wanaotoboa pua zao na kuziwekea vipini.
Nani aliwadanganya wanapendeza kuvaa hereni puani?
Nguli 😂😂😂Kutoboa pini ni urembo..
Ila mostly wadangaji nguli wanaotoboa pua plus Tatoo...
Ni corellation
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nina mmoja nimeweka ndani kabisa...akitoboa pua, broh ! vaa kondom
Naunga mkono hojakwenye kila sikio matobo mawili,puani + vikukuku.
Mkuu bado kuna haja ya kuuliza hili swali?
hao ni kitendo cha kutazamana usoni tuu mnazama guest kumalizana.
Asikwambie mtu ni urembo! Never..nina prove ya hao watu!