Nini chanzo cha ongezeko la wanawake wanaotoboa pua na kuvaa vipini?

Nini chanzo cha ongezeko la wanawake wanaotoboa pua na kuvaa vipini?

Kumekuwepo na ongezeko la Idadi kubwa ya wanawake wanaotoboa pua zao na kuziwekea vipini.

Nani aliwadanganya wanapendeza kuvaa hereni puani?
aliye toboa pua jua ametoboa na ki-si-iiimi, hereni inasaidia kukuna muwasho.
 
Mama ameongea sanaaaa...Ndugu zangu wameongea Sanaa...nlitaka niongeze na tundu kwa sikio..ninayo mawili.kila sikio...

Wakasema ushangingi...Sijui ukahaba...

Lakini Mimi naona Ni urembo TU...

So kwavita vile nikaona niache tu
Ni urembo lakini wadada wengi tunaowanunua wametoboa pua...

Mimi nishahidi... Sijawahi kukutana na ambaye hajatoboa pua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni urembo lakini wadada wengi tunaowanunua wametoboa pua...

Mimi nishahidi... Sijawahi kukutana na ambaye hajatoboa pua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi...nlikua sehemu nikaona wadada wawili wamependeza sanaaaa...Walikua watoboa pua...yaaani I was impressed..

Ndo nikataka na Mimi nitoboe...Guess nimepata jibu tayari
 
Namimi nlikua nataka kutoboa...nikapigwq Vita Sana
Kama appearance, posture yaani formality yako inaendana na kama uliyemuweka kwa Avatar yako toboa pua you will be the one ukifuatisha midomo ya mibongo dunia haiendi.

Nampenda sana mwanamke awe mwembamba awake kipini.

Hivi mwanamke awe mwembamba, avae nguo loose nyepesi kama kijora, nywele kafumua alafu ana kipini uwe nae room unasahau kama kuna ugumu wa maisha.
 
Wapi...

Ila niurembo...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hospital....walikuwepo wadada wawili...kwakweli nilipenda coz walipendeza...

Binafsi nlitoboa masikio mashimo.matano kila sikio...ila matatu ndo yaliziba..

Unajuwa Wanawake tunapenda urembo Sana Sana Sana...hata hao wadada wanaoouuza nao wanapenda kuonekana viZuri kwa Ajili ya market..

But kusema Kwamba urembo Fulani ninkwa ajili ya watu Fulani tu...just because hao wameuvaa Sio POA..

Mfano, kutoboa pua..kunawatotoo wanatobolewa since wadogo...kuvaa vikuku...nao umekuwa ukahaba...kuvaa shanga...ukahaba...Kutoboa masikio ukahaba...kupaka mamekap...Napo shida..

Mwanamke Ni pambo na Ni viZuri akapendeza....SASA KWANINI mapambo yawe Ni kwa Ajili ya watu Fulani wengine wakivaa inakuwa shida....

Kweli Mimi navaa hijabu...nikitoboa masikio mashimo kumi....Wala lengo langu SI kuonekana kwa watu..mimi TU napenda...huo ukahaba unatoka wapi?
 
Kama appearance, posture yaani formality yako inaendana na kama uliyemuweka kwa Avatar yako toboa pua you will be the one ukifuatisha midomo ya mibongo dunia haiendi.

Nampenda sana mwanamke awe mwembamba awake kipini.

Hivi mwanamke awe mwembamba, avae nguo loose nyepesi kama kijora, nywele kafumua alafu ana kipini uwe nae room unasahau kama kuna ugumu wa maisha.
Mimi..si mwembamba kabisaaaa Mkuu nakilo zakitosha ..75 ..ila hiyo Sio sababu ya Mimi kutokuwa mrembo..
 
Hizi nyuzi nyingine ni unyanyapaa tu.

Unampangia mtu maisha?

Kwani kasema katoboa kukufurahisha wewe?
 
Labda mods huwa wanajisahau ndio maana hawazifuti kama zile nyingine za kujadili dini.
Hizi nyuzi nyingine ni unyanyapaa tu.

Unampangia mtu maisha?

Kwani kasema katoboa kukufurahisha wewe?
 
Back
Top Bottom