Salaam mis confidence..!
Kwa cases nlizokutana nazo kama hizi, na nyingine zinazohusiana na maswala ya akina dada/mama, wamesaidika na huduma tolewa. Chanzo kikubwa kwa changamoto kama hizi inaweza kuwa hormonal imbalance na hat pia diet, na hata mazingiria tunayoishi. Hata inapelekea tatizo la kutoka mimba changa na pengine kutokupata mimba kabisa. Mimi nipo na kampuni ya tiba lishe iitwayo "Trévo", tiba kwa njia ya chakula, kukupatia virutubisho muhim vonavyohitajika na mwili wako kwaajili ya ukuaji na metabolism. Trévo ndani yake ina vitu kama Madini ya Boroni, beet root, Folate(asidi ya folic), mboga mboga aina ya Kale, madini ya Kalsiamu, Koro Kalsium Tata, Magnesiamu, Manganizi na virutubisho vingine vingi ambavyo vinasaidia kuimarisha afya ya wanawake, kwa ujumla trévo ji mchanganyiko wa virutubisho 174 ambavyo vinahusika moja kw moja kuimarisha afya ya mwili. Tunaweza wasiliana kwa maelezo ya kina zaidi ama ukafika ofisin kwetu kwa ushauri zaidi.