miss confidence
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 393
- 273
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza nilikua naomba kuelezewa nini chanzo au visabibishi vya tatizo hili la kupata over bleeding kwa wasichana au wanawake?
Kuuliza na je hili tatizo matibabu yake yapoje? Kwa wale wataalamu wa afya ninaomba kuelimishwa kuhusu hili tatizo kwasababu nakumbuka kipindi tunasoma kuna mwenzetu mmoja alipatwa na tatizo hili
Alienda miezi sita mfulululizo mpaka kupungukiwa damu lakini hospitali walimwambia uvimbe kwingine wakamwambia ni hormonal imbalance ninaomba kujua kwa undani zaidi kutoka kwa wajuzi wa masuala ya afya kuhusu tatizo hili.
Naomba kuwasilisha..