Nini chanzo cha tumbo kujaa gesi?

Kumbe Ukiwa na hilI tatizo haifai kula wali!! Asante Kwa kunipa ufahamu.
Chakula changu kikubwa ni ugali wa dona na matunda na maji yakawaida situmii chakula cha ngano wala mchele pia situmii vinywaji vyote vya asili ya gesi. Situmii
 
daah hatar sana mimi nasumbuliwa na hili yani nikila kidogo tu tumbo linajaa vbaya mno kama linataka kupasuka nashndwa kbsa kuka vzur ndugu zetu tusaidiane
Na Mimi nasumbuliwa na tatizo hilo hilo, yaani nikila kidogo tu tumbo linajaa. Mwenye kujua ufumbuzi wa hili tatizo tusaidiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…