mashuka collection
JF-Expert Member
- Apr 10, 2023
- 608
- 1,409
Unatumia mboga gani mkuu?Chakula changu kikubwa ni ugali wa dona na matunda na maji yakawaida situmii chakula cha ngano wala mchele pia situmii vinywaji vyote vya asili ya gesi. Situmii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia mboga gani mkuu?Chakula changu kikubwa ni ugali wa dona na matunda na maji yakawaida situmii chakula cha ngano wala mchele pia situmii vinywaji vyote vya asili ya gesi. Situmii
Inaonekana hili tatizo limekua kubwa mana hata mimi napitia hili kwa sasaAsnte
Chakula changu kikubwa ni ugali wa dona na matunda na maji yakawaida situmii chakula cha ngano wala mchele pia situmii vinywaji vyote vya asili ya gesi. Situmii
Hili tatizo limekuwa kubwa mno, labda hivi vinywaji vya viwandani ndo imekuwa chanzo Cha kujua Kwa hili tatizoInaonekana hili tatizo limekua kubwa mana hata mimi napitia hili kwa sasa
Na Mimi nasumbuliwa na tatizo hilo hilo, yaani nikila kidogo tu tumbo linajaa. Mwenye kujua ufumbuzi wa hili tatizo tusaidianedaah hatar sana mimi nasumbuliwa na hili yani nikila kidogo tu tumbo linajaa vbaya mno kama linataka kupasuka nashndwa kbsa kuka vzur ndugu zetu tusaidiane