Nini chanzo cha tumbo kujaa gesi?

Nini chanzo cha tumbo kujaa gesi?

Lavan Island

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
2,377
Reaction score
2,048
JE, TUMBO KUJAA GESI LAWEZA KUWA CHANZO CHA MAGONJWA MENGINE MWILINI MWAKO?

Ndugu mpendwa, na ieleweke kuwa hali ya chakula kutokumeng’enywa tumboni mwako sio ugonjwa, bali ni baadhi ya dalili zinazokupata, kwa mfano; tumbo kuuma na kujaa gesi mara baada tu unapoanza kula chakula. Ingawa tatizo hili linaonekana kuwa la kawaida sana, lakini tatizo hili linaweza kutokana na vyanzo mbalimbali. Dalili za chakula kutokumeng’enywa unaweza kuzihisi mara kwa mara kila siku.

NUKUU: Hali ya kutokumeng’enywa kwa chakula tumboni inaweza kuwa dalili ya ugonjwa mwingine wa usagaji chakula tumboni mwako.
Je, Nini Dalili Za Tatizo Hili?
Watu wengi wenye tatizo hili wanaweza kuwa na dalili moja au zaidi, nazo huwa kama ifuatavyo:
Tumbo kujaa gesi wakati anapokula chakula
Tumbo kujaa gesi muda mrefu
Kuhisi maumivu ya tumbo la juu
Kuhisi kiungulia juu ya tumbo
Tumbo kuunguruma sana mara kwa mara na kuhisi maumivu chini ya kitovu
Kuhisi kichefuchefu na kutaka kutapika

NUKUU: Wakati mwingine watu wanaosumbuliwa na tatizo hili pia hupatwa na kiungulia, lakini inasaema kumbuka kuwa kiungulia au chakula kutokumeng’enywa tumboni huwa ni hali mbili tofauti. Kiungulia huwa ni moto au maumivu unayoyahisi katikati ya kifua chako ambayo yanaweza kupenya mpaka kwenye shingo yako au mgongoni mwako wakati ama baada ya kumaliza kula.

Je, Nini Husababisha Chakula Kutokumeng’enywa Tumboni?
Chakula kutokusagwa au kumeng’enywa tumboni husababishwa na vyanzo vingi. Mara nyingi inaeleza hali hii hutokana na mtindo wa maisha ya muhusika mwenyewe, hasa katika matumizi ya vyakula, vinywaji au madawa ya vidonge anayoyatumia. Visababishi vya tatizo hili huwa kama ifuatavyo:
Vyakula vyenye mafuta mengi sana, kama vile chips, roast, nk.
Vyakula vilivyokobolewa kama vile, ugali wa sembe, maandazi, chapati, nk
Utumiaji wa nyama mara kwa mara
Vinywaji vyenye caffeine nyingi, kama vile pombe, kahawa, nk
Uuaji wa chokleti,
Uvutaji sigara
Kuwa na wasiwasi
Mazoea ya kula au kula haraka haraka bila kujali kutafuna chakula vizuri
Na kuto kutafuna chakula vizur na kulainika huwa ndiy chanzo kinaanzia haapo mdomon
Matumizi ya madawa ya vidonge vya antibiotic au vyenye kupunguza maumivu mwili mwako kama vile panadol, nk. Yafaa sana kupata ushauri kwanza wa daktari kabla hujatumia madawa hayo.
Kwan tambua madawa huwa ni kuzuia maambukizi yasiendelee
Wakati mwingine hali ya chakula kutokumeg’enywa tumboni husababishwa na magonjwa au matatizo yanayokuwa tumboni mwako kama vile:fuatana nami
Vidonda vya tumbo
Uvimbe tumboni(Gastritis)
Mawe ya figo
Kuvimba kwa kongosho
Saratani ya tumbo
Utumbo kuziba
Kupungua kwa mtiririko wa damu kwenye utumbo mwembamba(intestinal ischemia)
Je, Nini Madhara Ya Chakula Kutokusagwa Tumboni?
Kwa kawaida tatizo hili linapodumu kwa muda mrefu bila kufanyiwa ufumbuzi, basi linaweza kusababisha madhara yafuatayo katika mwili wako:
1.Mzunguko wa damu kuharibika na kuwa mdogo
2.Mgongo au kiuno kuuma
3.Miguu, au mikono kufa ganzi
4.Mwili kuchoka mara kwa mara
5.Kukosa hamu ya kula
6.Macho kushindwa kuona vizuri
 
Hivi unywaji wa vitu vya baradi unachangia tumbo kujaa gesi mara kwa mara??
 
Dawa yake ni nin mwalim?
 
Hili tatizo ninalo sahivi nimeamua kubadili mfumo wangu wa maisha kwenye chakula na vinywaji
 
Kama umekua ukiteseka na tatizo la gesi au vidonda vya tumbo muda mrefu bila mafanikio.. usisite kunitafuta tunayo dawa ya kutibu kabisa na kuondokana na tatizo lako
0719601426/0764308655
 
Weka bei tujue na unapatikana wapi
 
Weka bei tujue na unapatikana wapi
Napatikana kirimanjaro , ila kuhusu bei ya dawa ni ghari kidogo maana ni dawa ya kutibu kabisa na utaitumia miezi mitatu mfululizo bro , kuhusu bei kwa anaehitaji dawa ili apone kabisa atanitafuta ndo maana nkaweka hapo namba
 
Kama umekua ukiteseka na tatizo la gesi au vidonda vya tumbo muda mrefu bila mafanikio.. usisite kunitafuta tunayo dawa ya kutibu kabisa na kuondokana na tatizo lako
0719601426/0764308655
Acha mzaha
 
Napatikana kirimanjaro , ila kuhusu bei ya dawa ni ghari kidogo maana ni dawa ya kutibu kabisa na utaitumia miezi mitatu mfululizo bro , kuhusu bei kwa anaehitaji dawa ili apone kabisa atanitafuta ndo maana nkaweka hapo namba
Tuanzie hapa kwanza. Weka bei kabisa ili mtu asijisumbue kupiga simu kumbe hana uwezo wa kulipa
 
Dawa ni ya kupona kabisa bei lak2 mpka kupona kabisa na anatumia miezi mitatu ila anaweza ila kama hana uwezo anaweza tumia kila mwez mpkq miez mitatu ikaisha ila kupona ni uhakika ni lazma miezi mitatu
 
Dawa ni ya kupona kabisa bei lak2 mpka kupona kabisa na anatumia miezi mitatu ila anaweza ila kama hana uwezo anaweza tumia kila mwez mpkq miez mitatu ikaisha ila kupona ni uhakika ni lazma miezi mi

Dawa ni ya kupona kabisa bei lak2 mpka kupona kabisa na anatumia miezi mitatu ila anaweza ila kama hana uwezo anaweza tumia kila mwez mpkq miez mitatu ikaisha ila kupona ni uhakika ni lazma miezi mitatu
Ila kma kuna mtu hana uwezo wa laki mbili anitafute nione namna ya kumsaidia
 
JE, TUMBO KUJAA GESI LAWEZA KUWA CHANZO CHA MAGONJWA MENGINE MWILINI MWAKO?

Ndugu mpendwa, na ieleweke kuwa hali ya chakula kutokumeng’enywa tumboni mwako sio ugonjwa, bali ni baadhi ya dalili zinazokupata, kwa mfano; tumbo kuuma na kujaa gesi mara baada tu unapoanza kula chakula. Ingawa tatizo hili linaonekana kuwa la kawaida sana, lakini tatizo hili linaweza kutokana na vyanzo mbalimbali. Dalili za chakula kutokumeng’enywa unaweza kuzihisi mara kwa mara kila siku.

NUKUU: Hali ya kutokumeng’enywa kwa chakula tumboni inaweza kuwa dalili ya ugonjwa mwingine wa usagaji chakula tumboni mwako.
Je, Nini Dalili Za Tatizo Hili?
Watu wengi wenye tatizo hili wanaweza kuwa na dalili moja au zaidi, nazo huwa kama ifuatavyo:
Tumbo kujaa gesi wakati anapokula chakula
Tumbo kujaa gesi muda mrefu
Kuhisi maumivu ya tumbo la juu
Kuhisi kiungulia juu ya tumbo
Tumbo kuunguruma sana mara kwa mara na kuhisi maumivu chini ya kitovu
Kuhisi kichefuchefu na kutaka kutapika

NUKUU: Wakati mwingine watu wanaosumbuliwa na tatizo hili pia hupatwa na kiungulia, lakini inasaema kumbuka kuwa kiungulia au chakula kutokumeng’enywa tumboni huwa ni hali mbili tofauti. Kiungulia huwa ni moto au maumivu unayoyahisi katikati ya kifua chako ambayo yanaweza kupenya mpaka kwenye shingo yako au mgongoni mwako wakati ama baada ya kumaliza kula.

Je, Nini Husababisha Chakula Kutokumeng’enywa Tumboni?
Chakula kutokusagwa au kumeng’enywa tumboni husababishwa na vyanzo vingi. Mara nyingi inaeleza hali hii hutokana na mtindo wa maisha ya muhusika mwenyewe, hasa katika matumizi ya vyakula, vinywaji au madawa ya vidonge anayoyatumia. Visababishi vya tatizo hili huwa kama ifuatavyo:
Vyakula vyenye mafuta mengi sana, kama vile chips, roast, nk.
Vyakula vilivyokobolewa kama vile, ugali wa sembe, maandazi, chapati, nk
Utumiaji wa nyama mara kwa mara
Vinywaji vyenye caffeine nyingi, kama vile pombe, kahawa, nk
Uuaji wa chokleti,
Uvutaji sigara
Kuwa na wasiwasi
Mazoea ya kula au kula haraka haraka bila kujali kutafuna chakula vizuri
Na kuto kutafuna chakula vizur na kulainika huwa ndiy chanzo kinaanzia haapo mdomon
Matumizi ya madawa ya vidonge vya antibiotic au vyenye kupunguza maumivu mwili mwako kama vile panadol, nk. Yafaa sana kupata ushauri kwanza wa daktari kabla hujatumia madawa hayo.
Kwan tambua madawa huwa ni kuzuia maambukizi yasiendelee
Wakati mwingine hali ya chakula kutokumeg’enywa tumboni husababishwa na magonjwa au matatizo yanayokuwa tumboni mwako kama vile:fuatana nami
Vidonda vya tumbo
Uvimbe tumboni(Gastritis)
Mawe ya figo
Kuvimba kwa kongosho
Saratani ya tumbo
Utumbo kuziba
Kupungua kwa mtiririko wa damu kwenye utumbo mwembamba(intestinal ischemia)
Je, Nini Madhara Ya Chakula Kutokusagwa Tumboni?
Kwa kawaida tatizo hili linapodumu kwa muda mrefu bila kufanyiwa ufumbuzi, basi linaweza kusababisha madhara yafuatayo katika mwili wako:
1.Mzunguko wa damu kuharibika na kuwa mdogo
2.Mgongo au kiuno kuuma
3.Miguu, au mikono kufa ganzi
4.Mwili kuchoka mara kwa mara
5.Kukosa hamu ya kula
6.Macho kushindwa kuona vizuri
Ni uzi wa muda mrefu ila bado unahitajika sana.

Ngoja niupandishe tena
 
daah hatar sana mimi nasumbuliwa na hili yani nikila kidogo tu tumbo linajaa vbaya mno kama linataka kupasuka nashndwa kbsa kuka vzur ndugu zetu tusaidiane
 
Back
Top Bottom