Nini chanzo cha uchovu wakati wa kufanya mapenzi?

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
Imekuwa inatokea kw nyakati tofauti yaani baada kupiga goli moja yaani msela analala mazima kabisa hata afanyiwe vp hashtuki.

Kipindi cha nyuma kdgo nilikuwa fit naweza kuunga ht vitatu yaani heshima nyumbani yaani ukiomba mzigo mamito anaanza kuccmka anajua dozi full kufika vileleni.hadi analala km kafa

Cku hizi bablai hiyo kimoja tu ukipiga ham imeisha ht uchezewe unyonywe vp mtarimboo husimami.

NINI HASA TATIZO AU NIBADILI MKE LABDA NIMEMCHOKA
 
Piga mkuyat au ankasus na ondoa mawazo fanya mazoezi kijana
 
Tengeneza juice ya asili kwa kutumia tikiti maji saga kwa blenda then tia mbegu za kokomanga saga then tia limao na ndimu ila mbegu za limao na ndimu utoe then kunywa… fanya hivo kama juice tu pendelea kunywa tena na tena.

Pia, jaribu akili yako kuiweka katika hilo tendo inshort ni.kuwa huyo umemchoka katika sex hivo kama mkeo embu msafirishe kidogo kama mwezi hivi ili umisi kdg alafu usisahau mazoezi na kunywa maji kwa sana
 
Angalia, ikitokea mke wako kaanza dharau au unajistukia kwa lolote, hilo ni zao takatifu, jichunguze
 
Tafuta pesa dogo mapenzi achia wacheza porn
 
Piga tizi maji lita tatu kwa siku mboga za majani kwa sana....punguza kupanic unapokuwa mzigoni....relax sanaa ukishapiga hilo bao la kwanza
 
Imekuwa inatokea kw nyakati tofauti yaani baada kupiga goli moja yaani msela analala mazima kabisa hata afanyiwe vp hashtuki.

Kipindi cha nyuma kdgo nilikuwa fit naweza kuunga ht vitatu yaani heshima nyumbani yaani ukiomba mzigo mamito anaanza kuccmka anajua dozi full kufika vileleni.hadi analala km kafa

Cku hizi bablai hiyo kimoja tu ukipiga ham imeisha ht uchezewe unyonywe vp mtarimboo husimami.

NINI HASA TATIZO AU NIBADILI MKE LABDA NIMEMCHOKA
mkuu huo sii uchovu bali ni upungufu wa nguvu za kiume nenda tu kwa dokta
 
NASHKURU KW USHAURI WENU WANAJF TAJARIBU MAELEZO YOTE HAYO NIJUE IPI ITASAIDIA MAANA NI JANGA HILI LA TAIFA.BORA UKOSE NGUVU INGINE SIO Y KIUME.
 
Adden

Una tatizo LA communication na wife. Labda niulize ukishapumua hiyo moja mke wako anaridhika? Au anakuwa bado?

Nakusihi wakati unatafuta ufumbuzi ( kupiga mabao mengi sio kwamba unamridhisha mke wako) badilisheni stile ya kudo. Ikiwezekana aje juu. Ajipe mwenyewe huku akisugua harage kwenye mfupa wako wa pubic.

Unaweza ukapiga bao moja lakini wote mkaridhiki na msitamani tena. Believe me. Ni communication tu.

Umri unavyozidi kwenda mzee naye anakuwa hawezi kama zamani.
 
We ndo umeniamsha nashkur sana taanza na ushaur wako
 
Tafuta pesa dogo mapenzi achia wacheza porn
Kwa kwenye mke, hili mambo sio la hiari tena, Ni lazima hivyo Ana hoja. Siku hizi watu wengi wemekuwa wahanga mambo hili linalomtokea mtoa mada, kusababisha ndoa nyingi kuvunjika. Waganga bandia wa tiba mbada wamejitokeza baada ya kugundua frusa, matangazo ya wana tibia Biashara, kazi Na mapenzi.
 
Vipi mkuu..hua unapiga sex selfie??!!???

images%201_zpsabgrnxvc.jpg
 
Imekuwa inatokea kw nyakati tofauti yaani baada kupiga goli moja yaani msela analala mazima kabisa hata afanyiwe vp hashtuki.

Kipindi cha nyuma kdgo nilikuwa fit naweza kuunga ht vitatu yaani heshima nyumbani yaani ukiomba mzigo mamito anaanza kuccmka anajua dozi full kufika vileleni.hadi analala km kafa

Cku hizi bablai hiyo kimoja tu ukipiga ham imeisha ht uchezewe unyonywe vp mtarimboo husimami.

NINI HASA TATIZO AU NIBADILI MKE LABDA NIMEMCHOKA

Hujasema umri wako. Inawezekana ni normal tu kufuatana na umri ulionao. Formular ya mambo haya kutegemea na umri ni kama ifuatavyo:

1. At age 15 to 30 years --- three times a day.
2. At 31 to 40 years -------- three times a week
3. At 41 to 50 years -------- once a week
4. At 51 to 60 years ------- once weakly (NB: weak not week!)
5. Over 60 years ------------ bear is best!
Usijilazimishe,hayo ndiyo mwenyezi Mungu katupangia.
 
Back
Top Bottom