Nini chanzo cha vipele au vinyama vyeusi usoni?

Nini chanzo cha vipele au vinyama vyeusi usoni?

Atoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
86,410
Reaction score
169,862
Habari wana jamvi, naomba msaada kwa wenye uelewa na vipele/ vinyama vyeusi vidogo vidogo vinavyojiotesha usoni.

Je tatizo nini?
 
Hata mimi nilikua navyo hivo vinyama juu kidogo ya mashavu yani chini kidogo ya macho hii inatokana na kuwa too soft, bila shaka usoni upo soft sana, mimi nimlaini sana uso wangu unatereza kabisa nikaambiwaga nijisugue na apricot. nilishauriwa na daktari wa ngozi.

Nikawa napaka apricot naanza kujisugua utaona vinanyofoka kabisa vinatoka, ina maumivu makali kwa kuwa ngozi yangu ni laini sana lakini huwezi amini viliisha vyote na havikurudi tena, jaribu kufanya hivo na usivivute utavimba uso..
 
HAHHAHHA jamani mmenichekesha sana eti GOBORE,, hata mimi nilikua navyo hivo vinyama juu kidogo ya mashavu yani chini kidogo ya macho hii inatokana na kuwa too soft, bila shaka usoni upo soft sana, mimi nimlaini sana uso wangu unatereza kabisa nikaambiwaga nijisugue na apricot. nilishauriwa na daktari wa ngozi. nikawa napaka apricot naanza kujisugua utaona vinanyofoka kabisa vinatoka, inamaumivu makali kwa kuwa ngozi yangu ni laini sana. lakini huwezi amini viliisha vyote na havikurudi tena, jaribu kufanya hivo na usivivute utavimba uso..

thanx dear.
 
noted. Cc: atoto
 
Last edited by a moderator:
Acha kupaka lotion usoni hasa zenye chemical.
 
Habari, naomba kufahamishwa dawa ya kutoa vinyama vyeusi vinavyotoka usoni.

Kwa anayeijua naomba anijuze tafadhali.
 
kuna mdau mmoja alishachangiaga kwenye uzi kama huu kuwa tumia dawa aina ya apricot sina hakika kama ni tube,caps,tabs au kitu gani
 
atoto je ulivyojaribu tatizo limekwisha....???
 
Last edited by a moderator:
Inaweza ikawa ni allergy au mchafuko wa damu mwln chamcng fanya vipimo dawa zipo kabla hatujakuuzia kwanza tutakuelekeza uingie vp kwenye mtandao na uzisome kwanza znafabyaje kaz mwln 0714.912.390
 
Inaweza ikawa ni allergy au mchafuko wa damu mwln chamcng fanya vipimo dawa zipo kabla hatujakuuzia kwanza tutakuelekeza uingie vp kwenye mtandao na uzisome kwanza znafabyaje kaz mwln 0714.912.390

Mimi sitaki unielekeze mtandaoni nikajisomee.Nataka wewe mwenyewe unielezee kwa maelezo yako wala usicopy na kupaste.Aidha nitakuuliza maswali yangu yakitaalam ndio tutafanya mauziano ya dawa.Sawa?
 
Back
Top Bottom