Nini chanzo cha vita vya Saudi Arabia Vs Iran na wote ni Waislamu

Nini chanzo cha vita vya Saudi Arabia Vs Iran na wote ni Waislamu

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Mzozo wa Iran na Saudi Arabia ulioanzia 1979 hadi leo sababu zote 100 zinarudi kwenye sababu mbili tu Dini na Kiti yaani nani ndiye Muislamu wa kweli na nani ndiye Mfalme wa Mashariki ya Kati.

•DINI .Vita ya Sunni na Shia nani anamwakilisha Mtume Muhammad?

Hii ndiyo sababu ya damu.

  • Saudi Arabia ni Sunni Wahhabi 90% ya Waislamu duniani ni Sunni -Saudi inasema "Sisi ndio walinzi wa Makka na Madina sisi ndio Uislamu wa asili Shia ni uzushi ulioanzishwa na Abdallah bin Saba Myahudi"
  • Iran ni Shia Ithna Ashari 90% ya Wairan ni Shia Iran inasema "Mtume Muhammad alimchagua Ali bin Abi Talib kuwa mrithi wake Ghadir Khumm -sio Abu Bakr Sunni walipindua urithi Saudi ni vibaraka wa Marekani walioharibu Uislamu"

1979 ndipo kisu kilipoingia zaidi:

  • Iran -Mapinduzi ya Khomeini Khomeini akasema - "Wafalme wa Saudi ni Waislamu bandia wanakunywa whisky na Marekani wakati Wapalestina wanakufa Mapinduzi ya Kiislamu lazima yafike Makka -tuwaondoe Al Saud"
  • Saudi -iliogopa -Shia 15% wanaishi mashariki mwa Saudi kwenye visima vyote vya mafuta na Shia wa Bahrain 70% na wa Iraq 60% -Saudi ikaona Iran ikieneza Shia mafuta yetu yatachukuliwa na Shia

Tangu hapo:

  • Saudi inafadhili shule za Sunni Wahhabi duniani kote dola bilioni 100 tangu 1979 kujenga misikiti ya kupinga Shia -kutoka Pakistan hadi Tanzania
  • Iran inafadhili makundi ya Shia Hezbollah Lebanon, Houthi Yemen, Hashd al-Shaabi Iraq, na Zainabiyoun Pakistan kupinga Sunni

Hii ndiyo sababu ukienda Iraq, Syria, Yemen, Lebanon, Pakistan vita unayoiona ya bunduki nyuma yake ni Saudi na Iran

Imamu wa Saudi 2016 alitoa fatwa hadharani:

"Shia sio Waislamu ni wanyama"

Na Kiongozi wa Iran Khamenei akajibu:

"Al Saud ni mti usio na mizizi utakatwa na Waislamu wa kweli"

Hakuna suluhu ya kidini hapa kwa sababu kila upande unaamini ukishindwa dini yake inakufa.

Pia Vita ya Nani Ndiye Mfalme wa Mashariki ya Kati . Nani Ataongoza Bei ya Mafuta na kuilinda Palestina?.Hii ndiyo sababu ya pesa na siasa.Mashariki ya Kati ina kiti kimoja tu cha Ufalme na nchi zote mbili wanakitaka ingawa Iran kwa sasa ana jeshi bora kuliko saudi Arabia.

Makala hii tumeikopi kutoka Diplomacy Arena

FB_IMG_1791900224607.jpg
handeAlwatan
 
Copy and paste toka FB.

Houthi (AnsarAllah) wameanzishwa 1994 na vita vilianza 2004 baada ya kiongozi wao kuuliwa.

So stori za 1979 ni kamba, na pia hawa jamaa walikua na Nchi Yao kabisa kabla ya 1990, ilijulikana kama North Yemen, Yemeni mbili ziliungana 1990 baada ya Soviet union ku collapse.
 
Amna vita ya din hapo msijizime data tatizo ni saudi kuta kuitawala yemen
Nini chanzo cha kutaka kuitawala ewe akili mgando??Shida hapo ni ushia na usuni saudia anaogopa nguvu ya Iran na kuenea itikadi ya ushia kenge wewe
 
Ila hata wasabato wangekuwa na taifa nadhani wangekuwa na vita visivyoisha na wakatoliki.
 
Hapa saudia anatakiwa azicheze karata vizuri uzuri Israel naye anaangalia fursa afanye anamsaidia Saudia huku anatimiza azima yake
 
Back
Top Bottom