Antennah
JF-Expert Member
- Oct 14, 2015
- 6,754
- 8,750
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daaa!!!
Kaka angu alipoteza zaidi ya milioni moja na nusu kwa kuhangaika tu na hizo dawa za kuotesha nywele kwnye kipara....zingine mpka aliagiza A/kusini lkn hakuna cha ajabu kilichotokea.........sa hv ameamua kuridhika vile Mungu kamuumba na kuacha kubishana nae.........anapiga dongo tu na linampendeza vzuri tudaaa!!!
mkuu nakuja ila kwa unyonge mwingi sana maana siwezi kuvumilia kupokea shikamoo za mama zangu na baba zangu kisa kipara.
ngoja nifosi kwanza mitishamba kabla sijachukua usajili wa kudumu.
mkuu mimi nimelipa hili zoezi budget ya 20000 kwa mwezi mmoja ikishindikana. naungana na team zungu siku zikianza kuisha kabisa.Kaka angu alipoteza zaidi ya milioni moja na nusu kwa kuhangaika tu na hizo dawa za kuotesha nywele kwnye kipara....zingine mpka aliagiza A/kusini lkn hakuna cha ajabu kilichotokea.........sa hv ameamua kuridhika vile Mungu kamuumba na kuacha kubishana nae.........anapiga dongo tu na linampendeza vzuri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
naunga mkonyo hojaKama kuna mtu aliepata matokeo chanya juu ya hzo dawa atupe mrejesho hapa
hivi kunyoa dongo huwa nikukionea noma kipara au staili.Ndug we nyoa tu dongo unadhan wale wanaonyoa dongo hawapend kunyoa vduku bt hakuna namna binafs nanyoa dongo kila baada ya week, na kuwa huru usifiche huo upara kwa kofia
Kuna wanao nyoa kama style na huwa kinawapendeza sana bt kuna akina sisi ambao tunanyoa ili kuficha maana kiukweli upara syo mzuri espeshali ule wa nyuma na ndo maana unaona watu weng wanahangaika na madawahivi kunyoa dongo huwa nikukionea noma kipara au staili.
Hahahaaa mbona kaela kadgo sana hako , 20000?? Au umemaanisha 20000$ USD ...hahahaaa mpka hapo umeshindwa...dawa zake huwa zinauzwa pesa ndefuumkuu mimi nimelipa hili zoezi budget ya 20000 kwa mwezi mmoja ikishindikana. naungana na team zungu siku zikianza kuisha kabisa.
nimepata natural remedies hapo juu. ni home made dawa za kina rooney siziwezi na sizihitaji mkuu. usijejikuta unaota nywele mwili mzimaHahahaaa mbona kaela kadgo sana hako , 20000?? Au umemaanisha 20000$ USD ...hahahaaa mpka hapo umeshindwa...dawa zake huwa zinauzwa pesa ndefuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni Baraka ndg, ipokee kwa mikono miwilinimegundua vijana wengi na watu wazima ambao sio wazee ambao hunyoa kipara kichwa chote muda wote huwa wanavipara kama vya wazee ikitokea wameacha kunyoa nywele. Asilimia kubwa.
Jana nikiwa kwa babashopu dogo ananiambia unakakipara kanaanza katikati ya kichwa alafu kuna uchochoro mwingine unaanzia mbele kwa mbali ila muda sio mrefu vitaungana na utamiliki kipara cha muda wote.
Kwa kweli siko tayari Kunyoa kipara kichwa changu chote, maana ni kinyume na mila ninazoziheshimu sana.
Wakuu.
1: Chanzo ni nini? maana hata ukoo wetu hauna watu hao.
2: Kuna dawa yoyote ya asilia, maana ya kizungu kama aloyopaka rooney siitaki.
3: Kikija Sinyoi nywele kichwa chote bali nitaendeleza kufuga kama kawaida, Je wanaonyoa wanaogopa nini?
amina. kuitukuza nitaiacha na nywele kama mwaka mmoja hivi nione mwitikio wa jamii.Hiyo ni Baraka ndg, ipokee kwa mikono miwili
hahahaaHapo fuga na kitambi tu mzee, nunua na suti bas ukiingia ofis flan unapewa priorities kuliko mbunge
Daah we acha tu! Au fanya uwe unavaa kofiahahaha
mkuu unaweza kwenda kijijini unaona watu wanakutazama kwa macho ya husda ukadhani wanakukubali kumbe wanapanga njama za kukukata kichwa ili wakapate madini.
nitakuwa makini sana, maana hawa watu wa jadi huwa hawaishagi😀😀😀😀😀😀😀😀
tatizo nina kisogo kirefu sana, na kimepindapinda nywele zilikuwa zinaniweka mjiniMkuu Nyoa Nywele Zote uaeke Kipara Kabisa! Achana Na Mila Zilizoekwa Na Mababu Na Nenda Na Wakati Uliopo Coz Hapa Mjini Hatuna Mila Za Mababu Bali Tunaongozwa Na Elimu Na Still Tunaishi Freshi tu.
nimegundua vijana wengi na watu wazima ambao sio wazee ambao hunyoa kipara kichwa chote muda wote huwa wanavipara kama vya wazee ikitokea wameacha kunyoa nywele. Asilimia kubwa.
Jana nikiwa kwa babashopu dogo ananiambia unakakipara kanaanza katikati ya kichwa alafu kuna uchochoro mwingine unaanzia mbele kwa mbali ila muda sio mrefu vitaungana na utamiliki kipara cha muda wote.
Kwa kweli siko tayari Kunyoa kipara kichwa changu chote, maana ni kinyume na mila ninazoziheshimu sana.
Wakuu.
1: Chanzo ni nini? maana hata ukoo wetu hauna watu hao.
2: Kuna dawa yoyote ya asilia, maana ya kizungu kama aloyopaka rooney siitaki.
3: Kikija Sinyoi nywele kichwa chote bali nitaendeleza kufuga kama kawaida, Je wanaonyoa wanaogopa nini?
