Nini Chimbuko la Matumizi Mabaya ya Madaraka Tanzania?

Nini Chimbuko la Matumizi Mabaya ya Madaraka Tanzania?

Hayo majamaa ya sisiemu inamaana hayajaongea kitu au yalikacha kuhudhuria kwa maelekezo kutoka juu maana hamjaweka updates yamechangia kitu gani?🤣
Yule Kihongosi anaonyesha sura ya kikatili sana !
Nahisi alikuwa anavikumbuka vile viboko vyake alivyokuwa akiwapiga watu wazima huko Arusha. 😳🤠

Mambo yamebadilika kidogo 😅🤠
 
Ni kwa sababu Katiba mbovu ime-paralyse mifumo yote ya Kiutawala na kiutendaji iliyopo ktk nchi hii.
Hakuna mfumo hata mmoja unapofanya kazi.
Tatizo la mfumo kutofanya kazi sio la katiba, katiba imeandikwa ifanye kazi na namna gani lakini mtu anakuja kusema mzizi mmoja umejichimbia chini kinyume na katiba iliyosema iko sawa na akatoa amri inayoenda kinyume cha katiba kwa utashi wake.
 
Chimbuko ni katiba mbovu. Katiba ingekuwa bora, yaani katiba ambayo inafanya kila mhimili kufanya kazi zake bila kuingiliwa na mihimili mingine, halafu taasisi zikawa na nguvu ya kuwajibisha watu wote na viongozi wote, matumizi mabaya ya madaraka yasingekuwepo.
 
Chimbuko ni kama ifuatavyo;
1. CCM yenyewe
2. Viongozi wa CCM kukosa maadili
3. Kutokuwepo kwa katiba mahiri
4. Teuzi kwa kujuana
5. Kukosekana kwa viongozi mahiri wa kukemea rushwa, ufisadi na wizi.
 
Tatizo ni Katiba Mbovu, wala hakuna sababu zingine.

Chimbuko ni katiba mbovu. Katiba ingekuwa bora, yaani katiba ambayo inafanya kila mhimili kufanya kazi zake bila kuingiliwa na mihimili mingine, halafu taasisi zikawa na nguvu ya kuwajibisha watu wote na viongozi wote, matumizi mabaya ya madaraka yasingekuwepo.
You are right.
 
Kamam kifungu Cha rais kutoshitakiwa akiwa au ametoka madarakani hakitaondolewa tutaendelea kuona matumizi mabaya madaraka. Ifike mahali kusiwe na mtu asiyeshitakiwa.
mnataka uwajibikaji hamtaki kushitakiwa mfanye lolote uwajibikaji unasababu gani?
 
Kiujumla kwa kweli tanzania hakuna tunachoweza zaidi ya kufadhiri mipira tu eti thru goli la mama na kuwafanya vijana kuwa brainwashed kila mda ni simba na yanga hata mambo muhimu ya kuzungumza hakuna tena.
 
Back
Top Bottom