ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Yule Kihongosi anaonyesha sura ya kikatili sana !Hayo majamaa ya sisiemu inamaana hayajaongea kitu au yalikacha kuhudhuria kwa maelekezo kutoka juu maana hamjaweka updates yamechangia kitu gani?🤣
Tatizo la mfumo kutofanya kazi sio la katiba, katiba imeandikwa ifanye kazi na namna gani lakini mtu anakuja kusema mzizi mmoja umejichimbia chini kinyume na katiba iliyosema iko sawa na akatoa amri inayoenda kinyume cha katiba kwa utashi wake.Ni kwa sababu Katiba mbovu ime-paralyse mifumo yote ya Kiutawala na kiutendaji iliyopo ktk nchi hii.
Hakuna mfumo hata mmoja unapofanya kazi.
Chimbuko ni kama ifuatavyo;
1. CCM yenyewe
2. Viongozi wa CCM kukosa maadili
3. Kutokuwepo kwa katiba mahiri
4. Teuzi kwa kujuana
5. Kukosekana kwa viongozi mahiri wa kukemea rushwa, ufisadi na wizi.
Tatizo ni Katiba Mbovu, wala hakuna sababu zingine.Tatizo la mfumo kutofanya kazi sio la katiba, katiba imeandikwa ifanye kazi na namna gani lakini mtu anakuja kusema mzizi mmoja umejichimbia chini kinyume na katiba iliyosema iko sawa na akatoa amri inayoenda kinyume cha katiba kwa utashi wake.
You are right.Chimbuko ni katiba mbovu. Katiba ingekuwa bora, yaani katiba ambayo inafanya kila mhimili kufanya kazi zake bila kuingiliwa na mihimili mingine, halafu taasisi zikawa na nguvu ya kuwajibisha watu wote na viongozi wote, matumizi mabaya ya madaraka yasingekuwepo.
mnataka uwajibikaji hamtaki kushitakiwa mfanye lolote uwajibikaji unasababu gani?Kamam kifungu Cha rais kutoshitakiwa akiwa au ametoka madarakani hakitaondolewa tutaendelea kuona matumizi mabaya madaraka. Ifike mahali kusiwe na mtu asiyeshitakiwa.