The Butcher JF-Expert Member Joined May 24, 2015 Posts 348 Reaction score 491 Jun 22, 2019 #21 Mweweso said: Mkongoraaa Click to expand... Naipataje hii mkuu?
Mweweso JF-Expert Member Joined Dec 6, 2017 Posts 688 Reaction score 755 Jun 22, 2019 #22 The Butcher said: Naipataje hii mkuu? Click to expand... Kama upo sehemu kuna wamasai,umeshaipata mkuu
The Butcher said: Naipataje hii mkuu? Click to expand... Kama upo sehemu kuna wamasai,umeshaipata mkuu
nondo kilimanjaro Member Joined Oct 30, 2017 Posts 93 Reaction score 43 Jul 4, 2019 #23 Apple cider (organic) Tis said: Msaada Kwa anaejua dawa ya asili ya kuondoa agesi na acid tumboni.. Click to expand...
Apple cider (organic) Tis said: Msaada Kwa anaejua dawa ya asili ya kuondoa agesi na acid tumboni.. Click to expand...
MZALENDOWAKWELIKWELI JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 331 Reaction score 210 Dec 9, 2019 #24 Tis said: Msaada Kwa anaejua dawa ya asili ya kuondoa agesi na acid tumboni.. Click to expand... Kwema kiongozi? Ulishapata dawa? Hasa huo mkongoraa?
Tis said: Msaada Kwa anaejua dawa ya asili ya kuondoa agesi na acid tumboni.. Click to expand... Kwema kiongozi? Ulishapata dawa? Hasa huo mkongoraa?
A Albinoomweusi JF-Expert Member Joined Oct 28, 2016 Posts 3,433 Reaction score 8,585 Feb 3, 2022 #25 jerrybanks said: chukua maji ya kunywa ya uvugu vugu nusu kikombe changanya na baking powder kijiko kimoja kisha kunywa.utayaona matokeo insha allah kwani ni tiba nzuri mno kwa ges Click to expand... Hii ilinisaidia ndani ya dk chache tu
jerrybanks said: chukua maji ya kunywa ya uvugu vugu nusu kikombe changanya na baking powder kijiko kimoja kisha kunywa.utayaona matokeo insha allah kwani ni tiba nzuri mno kwa ges Click to expand... Hii ilinisaidia ndani ya dk chache tu
phina98 Member Joined Aug 31, 2022 Posts 25 Reaction score 5 Nov 25, 2023 #26 Tis said: Habat souda siifaham mkuu Click to expand... Ipo maduka asilia inauzwa elfu tano tu ila ikiisha ukitumia vyakula na vinywaji vyenye gas Hali inarudi kama mwanzo
Tis said: Habat souda siifaham mkuu Click to expand... Ipo maduka asilia inauzwa elfu tano tu ila ikiisha ukitumia vyakula na vinywaji vyenye gas Hali inarudi kama mwanzo