The Butcher
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 348
- 491
Naipataje hii mkuu?Mkongoraaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naipataje hii mkuu?Mkongoraaa
Kama upo sehemu kuna wamasai,umeshaipata mkuuNaipataje hii mkuu?
Msaada
Kwa anaejua dawa ya asili ya kuondoa agesi na acid tumboni..
Kwema kiongozi? Ulishapata dawa? Hasa huo mkongoraa?Msaada
Kwa anaejua dawa ya asili ya kuondoa agesi na acid tumboni..
Hii ilinisaidia ndani ya dk chache tuchukua maji ya kunywa ya uvugu vugu nusu kikombe changanya na baking powder kijiko kimoja kisha kunywa.utayaona matokeo insha allah kwani ni tiba nzuri mno kwa ges
Ipo maduka asilia inauzwa elfu tano tu ila ikiisha ukitumia vyakula na vinywaji vyenye gas Hali inarudi kama mwanzoHabat souda siifaham mkuu