Nini dawa ya kumaliza tatizo la kiungulia?

Nini dawa ya kumaliza tatizo la kiungulia?

Ibada ya kwanza

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2013
Posts
3,282
Reaction score
1,810
Wadau nini dawa ya kumaliza hili tatizo.nimetumia magnesium na baadhi ya dawa lkn bado.watalam naombeni nini dawa na ushauri
 
uwe unakunywa maji mengi..na pia tafuta msaada wa wataalam
 
Wadau nini dawa ya kumaliza hili tatizo.nimetumia magnesium na baadhi ya dawa lkn bado.watalam naombeni nini dawa na ushauri
chemsha maji ya moto kwenye kikombe kimoja kisha tia kijiko 1 cha Tangawizi mbichi uliyo saga vizuri, koroga vizuri acha kwa dakika moja ipite kunywa asubuhi mchana na usiku kila siku utapona hicho kiungulia chako.
 
Wadau nini dawa ya kumaliza hili tatizo.nimetumia magnesium na baadhi ya dawa lkn bado.watalam naombeni nini dawa na ushauri
tatizo la Kiungulia linasababishwa na kuchelewa kula au kula Sana vyakula vya acid nyingi Kama nyama.soda nk
 
Lamba jivu la uvuguvugu na punguza au acha kula vitu vya acid,.Hali ikizidi kamuone daktari.
 
hili tatizo liliwahi nikumba kipindi flani nikashauliwa kutumia supu ya bamia mpak leo nalisikia tu kwa watu,tafuta bamia katakata vipande vidogovidogo chemsha kwa maji kiac na chumvi zisi ive sana mpak rangi ikabadilika chemsha kiac tu then kunywa ndani ya wiki nzima binafsi ndo tiba niliyoelekezwa nikaitumia ikaniponya
 
Back
Top Bottom